Tunajua kuna wenye roho mbaya hawalali wakitutakia mabaya wana Simba tushindwe na hao waarabu.
Enyi wenye roho mbaya nawaambieni wazi kwamba tumekuja kuchukua point zetu 3 kwa mwarabu, Simba sio...
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga.
TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii...
Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani.
Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only...
Habari za Jumapili wanajukwaa.
Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua...
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo
Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande...
Simba sc na pacha wake Young African SC
Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile.
Wote mumeingia makundi kwa pamoja...
Hizi ni hujuma Mimi kama mpenda soka Huwa nachukizwa pale timu inakuwa na goli za penalty ( coz inonyesha % nyingi za mbeleko)
Hatua ya makundi [emoji23][emoji23]kolo kafunga goli Moja tu nalo ni...
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023
Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa...
Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.
SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.
Bado matumaini...
Bocco tushamuona, Baleke tumemuona hana jipya tena, kila cku yeye ni kukosa magoli tu, Phiri amechapoteza mwelekeo, shabaha iliyopo sasa hv ni Shaaban Chilunda tu, kijana huyo ana uwezo mkubwa...
Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea...
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi...
Jana Simba imepambana sana na matokeo yameniuma sana utadhan nimefiwa na mzazi, haki tena, ila kitu kinanipa taabu sana na kunipa hofu kama kweli Umoja upo Simba, pengine ndio maana matokeo...
Huu ndo mchezo unaosubiriwa kwa hamu zaidi kwani utakuwa mchezo wa mwisho kwa Simba na Wydad kuamua kusonga mbele ama lah!
Siku hii kwa namna yoyote ile Simba lazima ishinde ili kuwa na matumaini...
Yanga walianza ligi kuu kwa kushinda mechi kwa magori mengi kumbuka zile 5G.
Gamond akadhani ana kikosi kipana akafanya rotation kwenye mechi dhidi ya Ihefu, kilicho mpata alipoteza ule mchezo...
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni
So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni...
Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?