Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano.
Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo...
Malengo ya Simba sc kimataifa ni kufika nusu fainali na malengo Yanga Sc kimataifa ni kuingia makundi.
Yanga wametimiza malengo Yao lakini siyo malengo ya kushangilia sana kwa maana Yanga Sc ni...
Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad.
Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
Simba hii kwa sasa naona wamebaki kukamia mechi dhidi ya waarabu na sio kuzicheza mechi hizi kiufundi, kilichoonekana Jana kinathibitisha ilo!
Kadri muda ulivyokuwa unaenda nilikuwa sioni Simba...
Hii team ni mbovu sana aisee, naangalia hapa mechi yao dhidi ya asec hata ikitokea wameshinda ni ngekewa tu ila hii team mbovu.
Na huu uwanja wao kabisa ni takataka eneo la kuchezea, hapa hata...
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama...
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata...
Msemaji wa Singida BS Hussein Massanza tulipokutana Singida nilikwambia uache kuwasumbua watu kwamba mtaifunga Yanga. Nilikuuliza mtashindaje ikiwa mnacheza kwa maelekezo? Mzee wa Jambia kaiweka...
Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
Hawa jamaa wamekuwa na desturi ya kulalamikia waamuzi sana.Ni kama mwanamke anavyolalamikia mfumo dume.Unakuta mradi aonekane kaonewa tuuu na huenda wanatafuta huruma.
Kwa hapa nyumbani...
Yaani kwa jinsi uwezo wa hii timu ulivo wa kiwango cha kawaida, tunashindwa kuamini kama kweli yale mabao 5 yalikuwa ni uwezo wa timu yao, ushahidi ni hizi mechi za ligi ya mabingwa ambazo...
Bongo mambo mengi .....
Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki...
[emoji1630]Klabu ya Wydad AC imewarudisha wachezaji wake wawili ambao ni Zouahir El Moutaraji na Ismail El Moutaraji ambao walishaanza mazoezi na timu
[emoji1630]Wachezaji hao wawili walikuwa...
Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park.
Matokeo hayo yanaifanya Villa...
Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui...
Kikosi cha Simba Queens
Kikosi cha Yanga Princess
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao...
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua...
Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0.
Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad