Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naangalia hapa simba Queens na yanga princess,kiukweli yanga haina wachezaji kabisa. Hivi hapa kuna wachezaji waliotoka nje katika hawa wachezaji? Kama wapo wavunjiwe mikataba warudi kwao. Ni...
1 Reactions
16 Replies
809 Views
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca. Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko...
2 Reactions
18 Replies
685 Views
Mpira wa miguu ni mchezo wa kugongana na kutumia nguvu nyingi sana hasa kwenye mashindano makubwa ya CAF na Derby. Wachezaji walewale kila mechi za kila mashindano zinaiumiza timu, wachezaji...
0 Reactions
18 Replies
979 Views
Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. 🙌 Mimi n...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Kiukweli baada ya hii game ya medeam narudia tena kusema yanga inahitaji wacheza 4. 1.Winga mwenye ubunifu wa kumiliki mpira,kasi na winga anayelifuata box la adui akiwa na mpira. Sijui tutampata...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL) ni kama ifuatavyo: Kuanzishwa (1964): CAFCL ilianzishwa mwaka 1964 na kuitwa awali Kombe la Vilabu Bingwa Afrika. Lengo lilikuwa kuwakutanisha...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Salaam wana JF, Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
1 Reactions
10 Replies
744 Views
Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi...
1 Reactions
18 Replies
831 Views
Kwa kweli Wasafi na EFM wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye vipindi vya michezo kuanzia kwenye kuhabarisha na kuchambua. Yaani ukikaa juu sana jua unakaribia kudondoka hii nimeiona Kwa hawa...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo. 1. Kocha ana muda mfupi 2. Hata nyie Yanga mna point 2. 3 .Kipa ni tatizo. Ongeza nyingine.
4 Reactions
22 Replies
838 Views
Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana. Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw. Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana. All the best Simba SC.
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani. Kule nako ni Tanzania na walioko ni...
1 Reactions
9 Replies
614 Views
Ni vizuri tukakumbushana kuhusu jambo hili muhimu kabla muda haujafika.
11 Reactions
75 Replies
5K Views
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini? Na msingi wa hii sheria ni nini? Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
KOCHA MEADEAMA ATESWA NA MAXI NA PACOME. Yanga inavaana na Medeama kesho Desemba 8 kuanzia saa 1:00 usiku, ikitoka kulazimishwa sare nyumbani na Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa pili wa kundi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa wanyamwezi, Kilio cha "mayu noyaga" ni cha "mama nimekoma". Hicho ndicho kilio kinachowasubiri Yanga watakapokutana na Medeama hapo kesho! Medeama ni kitimu ambacho hakipo hata kwenye...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…