Kwa mliangalia uwezo wa uyu mdada walahamuwezi kubisha kabisa anaujua mpira haswa tena haswa kipaji chake kinaweza kulingana na Cha AZIZ K
Ni fundi haswa wa Mali huwezi mkinai kumuangalia.
Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo...
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na...
Viongozi lazima wawe siliasi.
Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa...
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki.
Huyu kocha hajawahi kuongoza...
Jemedari Saidi ameupiga kelele sana mchezo wa Yanga na Namungo, akishinikiza TFF kumfungia Aucho kwa retaliation dhidi ya Ajibu.
Kwa namna ya ajabu TFF wakayafanyia kazi malalamiko ya Jemedari...
Mh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo...
Hamasa kibao ila mpira wa hovyo, mimi kama shabiki wa Simba sirudi tena uwanjani kuangalia mechi ni aibu kubwa mno.
Tulishasema sana kocha hafai, tangu msimu uliopita hamna kiungo mkabaji...
Hii michezo basi Simba wanayo kuanzia siku nyingi rejea kwa mapana ishu ya Kabwili, Ulimboka et al ndio utafahamu Simba na kuhonga kwao ni pie ya 22/7 wanaipenda na wameizoea tangu kale.
Kumbe...
Hapa kuna michezo michache ya kubashiri inayopendwa sana ulimwenguni:
1. Mashindano ya farasi: Hii ni michezo ya kale ambayo imekuwa ikifurahiwa kwa karne nyingi. Ni mchezo wenye msisimko mkubwa...
Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa...
Kipindi klabu ya Simba inamtafuta CEO mpya mashabiki wengi walitoa maoni yao kwamba KAJULA anao unasaba na Young Africans, viongozi wakaendelea na mchakato na wakampa ajira.
Hata baada ya kupigwa...
Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?!
Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni...
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa...
Salaam Wana jf
Baada ya a Simba kuruhusu hamsa ya kichapo Cha Karne 5__1 binafsi niliamini kipa langu la viwango manula ni mbovu Kwa kuruhusu kichapo hicho heavyweight
Maajabu yake nimeona...
Mechi ya Simba na Yanga huwa ni mechi ngumu huwa haijalishi timu zote zipo kwenye hali gani. Hata mashabiki wa Simba tukicheza dhidi ya mashabiki wa Yanga unaona kabisa amsha amsha jinsi ilivyo."...
Haya mashindano ya chini ya miaka 15 ni ya kijinga sijui ni kwa faida ya nani?
Timu nyingi zimepeleka vijana zaidi ya miaka 18 huku vyeti vyao vikisoma miaka 14 Hadi 15.
Huyu Halaand wa unguja...