Wakulu wa nchito,
Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia...
Uzi huu ni maalumu katika kukuletea matukio ya moja kwa moja kutoka katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Mkapa
Hili ni sherehe maalum kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans kwa...
Sasa Ni Saa 5 inaenda Saa 6 Mchana na Hali ya Hewa ni ya Mvua, Baridi na Upepo tusidanganyane kuwa Hali ya Hewa hadi Saa 11 Jioni muda wa Mtanange ( Mechi ) hii Mvua itakuwa imekata.
TFF na TPLB...
Wakati homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya kesho Novemba 5.Bodi ya Ligi imetaja waamuzi watakaopewa pambano hilo litakalopigwa Uwanja wa Mkapa...
Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA.
ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale...
Inaweza kuwa mzaha mzaha..lakini ikaja shangaza huko mbele!!! EPL inabidi ibadilike kwenye malipo ya mishahara.
Dunia sasa hivi inaonesha mabadiliko kila sehemu.
Ukibaki unajiamini we ni bora...
Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly
Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani...
Salamu,
Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka!
Tukutane saa moja jioni!
Nakala: Gentamycin...Aione...
Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates,
Imeanza saa 10,
Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates
Full time 1-3...
Habar wakuu,
Siwezi kuafiki ya kuwa Simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.
Yaani kwa Yanga hii yenye
High quality player
Kipa bora
Beki bora...
List ya mwisho ya Vilabu Bora Afrika 2023.
Timu yako inashika nafasi ya ngapi hapa [emoji1541][emoji116].
Africa, Dunia
01 Al ahly. 06
02. Wydad. 51
03 Yanga. 63
04. Pyramids 73
05. Mamelodi 79...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia.
2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba.
3. Sikubaliani na...
Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa...
Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu.
Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru...
Habari Wanajukwaa La Michezo,
Mimi kabisa nianze kwa kusema sio Muumini na siamini kama Ushirikina kua eti unafanya kazi asilimia 100 katika maswala ya football, Yani I mean Team Nzima kuanzia...
Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake.
Mimi sipo hapa kwenye...