Ukweli mchungu.
Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.
Ni...
Hivi kweli club ya hadhi na kubwa kama Simba ndio yakutumia meza za Bar kwa ajili ya kupokea wageni wakubwa na kufanya vikao? Ahmed Ally sisi Wanasimba tunakuomba uitishe Harambee tuondokane na...
Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba.
Kwa...
Kama tujuavyo Jumapili hii kuna mtanange wa Watani wa jadi Simba vs Yanga. Katika mchezo huu Simba ndio mwenyeji huku Yanga akiwa mgeni, kama tunavyojua lazima kunakuwepo na hamsha popo na hamasa...
By Kashmir Sports Watch
Srinagar
THE star women cricketer of J&K, Jasia Akhtar, is going to play for Mohammedan Sporting Club in the upcoming Dhaka Premier Division Women Cricket League in...
Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha ovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
Friends of Simba wamerudi kazini
TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends...
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar amewasili ofisi za Young Africans SC na kupokelewa na Rais Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Watendaji wote kwa ajili ya kuongelea mambo...
“Hata yeye mwenyewe (Aziz Ki) tukiwa hotelini Tunisia aliwahi kunifuata na kuniambia anashangaa namna ambavyo vyombo vya habari vimekuwa vikijaribu kumlinganisha na Clatous Chama huku akiamini...
Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov.
Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana...
Kati ya vitu ambavyo Simba wanatakiwa kufanya ni kuacha hii tabia yao ya kununua mechi,wanadeal na marefa na baadhi ya wachezaji wasio waaminifu.
Nianzie tu na marefa,asilimia 90 ya makosa...
Ili kuleta msisimko zaidi ya mechi hiyo ingependeza refa awe mwanaume, maana hii ni zaidi ya mechi hapa Bongo.
Iko wazi wenzetu jisia ya kike hawawezi kuhimili mikimiki ya mechi ngumu kama hizi...
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.
Kwa Chama...
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae.
Namshauri sana kocha wangu...
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer...
Nimeona baadhi ya watu wakiushambulia Ukuta wa Yericko (electrical Fence) bila kujali/kuangalia kipa anafungwa magoli ya namna gani Bali mashabiki wanapaza sauti tu kila wanapoona timu yao ya...
Ficheni tu na kaeni Kushadadia / Kushupalia ya Phiri na Robetinyo wakati kumbe hata Kwenu Skudu na Gamondi haziivi na tabasamu mnaloona wanawapeni ni la Kinafiki na Kuwazugeni tu.
Halafu...
TANGU MWANZO WA HAYA MASHINDANO NILISEMA, SIMBA OUT, MAZEMBE OUT, PETRO LUANDA OUT, NA ENYIMBA OUT WATU MKABISHA VIPI BADO TIMU GANI HADI SASA?[emoji848]
"Mechi nne za kimataifa hujashinda hats...
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa...