Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani. Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league...
15 Reactions
56 Replies
3K Views
Kama ulifuatilia mahojiano ya Leo ambao ni utaratibu wa kawaida Kwa makocha na ma captain wa mechi Kilichonishangaza ni kuwa kocha wa Al ahly the giant [emoji208] alikuwa ana jiamini sana lakini...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa...
0 Reactions
4 Replies
312 Views
Mpira ni mchezo wa wazi usiokuwa na kificho na wala hauchezwi chumbani hapana Bali ni hadharani kila mtu atashudia. NALIA NGWENA naweka pembeni ushabiki na ninataandika hapa bila ya kupepesa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo wa Ligi ya Kikapu kwa vilabu vya Afrika Kundi C, ambapo Timu ya Pazi kutoka Tanzania imeibuka na ushindi wa Vikapu...
1 Reactions
5 Replies
345 Views
Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko...
1 Reactions
9 Replies
658 Views
Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
"Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni mashindano ambayo yameibuka tu from nowhere. Hakuna vigezo rasmi kujua washiriki wanapatikanaje, bingwa ataenda kwenye hatua gani inayofuata?, atakaebeba kombe atapewa honorable title gani...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."- Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi Mechi walizocheza Hawa miamba wamekutana mara 4 Al ahly kashinda mechi...
10 Reactions
95 Replies
4K Views
Viongozi wa Simba mnatuonaje? Mnadhani mashabiki wote ni maamuma? Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu. Robertinho ni Kocha...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
1)Simba anaongoza ligi kuu Tanzania bara 2)Simba hajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu Wala Ligi ya mabingwa Africa 3)Simba kachukua ngao ya jamii mbele ya mtani wa jadi 4)Al ahly hawajawahi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kesho ni ijumaa, ni siku ya kazi lakini ni weekend, ila kubwa zaidi ni uwanja wa Mkapa kujaa siku ya ijumaa. Hii imeonyesha kuwa mnyama ana determination sio ya kawaida, sasa kazi imebaki...
2 Reactions
6 Replies
590 Views
Robertinho (sambaroketo boy) "Napenda kucheza mechi kubwa sana na kikosi changu nimekiandaa vizuri kwakweli napenda sana tena sana kucheza mechi kubwa Kama hizi." Kocha wa Al ahly. "Tumekuja...
2 Reactions
7 Replies
427 Views
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka MISRI[emoji1093] Ikumbukwe kuwa hii ndio timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu zote barani Afrika Hapo Ijumaa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe! Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma! Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga Kwa Pamoja...
1 Reactions
1 Replies
470 Views
Habari.. Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa. Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho. 1.simba kufungwa goli zaidi 3. 2..umeme kukatika ghafla...
4 Reactions
29 Replies
924 Views
Duru za habari za michezo zimeripoti kuwa baada ya ufunguzi pamoja na mechi kati timu yenye hadhi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano mbalimbali hapa Duniani Simba sports club Vs Al ahly...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…