Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mara mbadilishe tarehe, Mara mbadilishe uwanja mna kaa tena mnakumbuka kitu mnarudisha mechi ichezwe kwenye uwanja ulioibadilisha mwanzo. Kiufupi mnajitekenya na kucheka wenyewe. Je, tukisema...
2 Reactions
4 Replies
415 Views
Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone. Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo. mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba. kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na...
3 Reactions
7 Replies
524 Views
Wakuu, Ufunguzi wa michuano mikubwa zaidi barani Afrika inafanyika ijumaa hapa kwenye ardhi yetu. Kama kawaida yetu tunaweza kuchukulia rahisi sana fursa hii na tusijiandae kwenye mambo ya msingi...
5 Reactions
19 Replies
858 Views
Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa...
10 Reactions
15 Replies
889 Views
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Kesho hawa wazee wa simba nawashauri wasile biriani,watumie viazi vitamu na maji wanaweza wakamudu dk90 lasivyo wanaweza rudisha chenji... kwanza wana afya dhaifu akili hawanaga umri umewatupa...
7 Reactions
10 Replies
780 Views
Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limesema litaonyesha mechi ya robo fainali ya African Football League dunia nzima ispokuwa Tanzania, Africa Kusini na Uingereza
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana...
3 Reactions
16 Replies
905 Views
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa. Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mpira ni mchezo wa umoja, nawashauri sana akina engineer Hersi kwenda uwanjani kuicheki Simba ijumaa sio ushamba wala usaliti, unakwenda kutafuta connection na wadau mbalimbali wa soka duniani...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mabadiliko ya ratiba kwa michezo yetu miwili ijayo ya NBC Premier League [emoji617][emoji1491] ili kupisha michuano ya AFL baadhi ya mechi zimesogezwa mbele.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Gianni Infantino • Fatma Samoura • Arsène Wenger • Salman bin Ibrahim Al Khalifa • Alejandro Dominguez • Patrice Motsepe • Veron Omba • Augustin Senghor • Ahmed Yahaya • Seidoi Mbombo • FA...
29 Reactions
75 Replies
4K Views
Mabadiliko ya Ratiba ya Ligi Kuu kupisha mechi za AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. Hapa ilikuwa lazima mechi ya Ligi kuu isogezwe ni kama Birthday inapoangukia siku ya harusi, Birthday itasogezwa tu...
4 Reactions
4 Replies
662 Views
Sasa huu ni muda wa Afrika kujua Yanga ndio baba wa mpira wa Tanzania. Simba atagongwa na Al Ahly kwenye Afrika Super League tena nje ndani. Nina imani kubwa Yanga atawagonga Al Ahly nje ndani...
3 Reactions
14 Replies
788 Views
Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote...
2 Reactions
11 Replies
732 Views
Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji. Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi...
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…