Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena...
Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa...
Hizi mpya kabisa, possibly amna mtu karipoti tanzania hii : utaona chawa wana ripoti after this post ,
I will be short :
kocha mpya huyo from Morocco anakuja na benchi lake lote la ufundi...
Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha.
Jambo Kama hili wengi walilitegemea kutokana na uwekezaji uliofanywa na matokeo wanayopata.
Mtazamo...
Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote.
PIA SOMA
- Kama kujiuzuru kwa Ali...
Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus.
Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili...
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo
Familia...
🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜
Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti.
Singida wamempa ofa ya...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha...
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees...
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha...
Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo...
Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama.
Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani...
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji...
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,
✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji...
Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga.
kwahiyo Chama msimu ujao...
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri...
Niko hapa kuthibitisha kuwa Aishi Manula, golikipa wa Simba SC hatakuwa kipa wa Simba SC msimu huu. Anapelekwa Azam FC Kwa mkopo. Mpango wa Simba SC ni Ayoub Lakred kuwa namba Moja akisaidiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.