Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya. Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa...
25 Reactions
90 Replies
4K Views
ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Niko hapa kuthibitisha kuwa Fadlu Davids ni kocha mpya ajaye Simba SC Raia huyo wa Afrika Kusini ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni...
10 Reactions
80 Replies
7K Views
Ni mwendelezo wa Yanga sc kusajili wachezaji waliotelekezwa. Mshambuliaji raia wa Burundi ,Saido ntibazonkiza amerudi tena Jangwani na kupewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia wana mboga mboga...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Hizi inaweza kuwa taarifa kubwa zaidi hapa Tanzania kwenye dirisha hili Kubwa la Usajili 2024. Taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai Paccome Zouzoua amepata offer kubwa kutoka...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job -...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
14 Reactions
163 Replies
12K Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
47 Reactions
399 Replies
17K Views
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
636 Views
Well Gamondi and Yanga part away. it's over. Yanga will have a new manager next season as tonight: Gamondi refused a long term contract Gamondi is still in contact with other big teams...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba usiku huu. Huenda kufikia kesho yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Steve Komphela ambaye hivi sasa yupo jijini Dar Es Salaam Simba Sc ambayo imekuwa chini ya...
1 Reactions
10 Replies
924 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda...
3 Reactions
15 Replies
825 Views
Back
Top Bottom