Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki...
11 Reactions
136 Replies
51K Views
Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Mali kuhusu Kipa wa Yanga SC Djigui Diarra zinasema Kuna timu ya ligi nchini Uturuki inahitaji huduma ya golikipa Huyo Bora ndani ya Africa...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Uongozi wa Simba SC umeridhia ombi la mchezaji wake Moses Phiri aliyeandika barua kuomba kuvunja mkataba ili aondoke zake. Siku chache huenda wakatangaza kuachana naye. Phiri alichukia...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Zile tetesi za kuwaleta wachezaji niliowataja hapo juu,ni za kusikitisha sana kwani viongozi wetu wanaendekeza siasa badala ya uhalisia wa mprira wenyewe. Hata hivyo bado kuna tetesi kuwa coach...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake. Klabu ya Simba...
3 Reactions
6 Replies
897 Views
Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K. Mkataba wa Yanga na Aziz K unaelekea ukingoni wakati wa dirisha dogo la usajili kufunguliwa. Imekuwa ngumu...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan. Young Africans SC inahitaji...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno...
36 Reactions
166 Replies
27K Views
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao...
14 Reactions
150 Replies
30K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa hispania wa SPORT mwanasoka wa Argentina Lionel Messi atashinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or akimshinda mpinzani wake Erling Haaland. Aidha kwa upande wa wanawake tuzo...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha...
21 Reactions
98 Replies
10K Views
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA. Wabongo tuache unafiki wa...
78 Reactions
377 Replies
43K Views
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆! Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. 🇹🇿🔴⚪️ ◉Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya...
13 Reactions
36 Replies
4K Views
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi. Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba...
9 Reactions
66 Replies
6K Views
Back
Top Bottom