Za ndaniiiiii,
Mdau mmoja ambaye sitopenda kuweka jina lake hapa ambaye yuko Nchini Uturuki ananipenyezea mambo kadhaa kuhusu Mnyama,
(1) Kocha hamtaki Ngoma
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa...
Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani...
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga...
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya...
Salaam ndugu zangu,
Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.
Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi...
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua...
Nipo kwenye gym moja maarufu sana hapa karibu na Ubalozi wa Vatican lakini kwa masikio yangu nimemsikia mmoja wa wana kundi wa friends of Simba akimtuhumu mwenzao aliyepo karibu na Mudi kwa kuwa...
Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music...
Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda...
Wachezaji wa Simba HABIBU KIYOMBO NA JOASH ONYANGO wanaweza kujiunga na Timu ya Singida Fountaingate ya Singida.
Wachezaji hawa wanaweza kuondoka iwapo tu Simba itawapa mkono wa kwa heri au hata...
Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA.
Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
Yanga imemtema Morrison, imefanya tathmini na kuona ni mchezaji mzuri lakini hana impact kwenye klabu, mechi alizocheza na mshahara anaolipwa havifanani, ameonekana ni liability na sio asset...
Salaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa.
Vipi...
Jambo Jambo?
Yanga walilambishwa asali kwa Kisu, Favor zikazidi wakajiona wao ndo wenye nchi na wananchi, kumbe Hangaya ni mtu wa strategy.
Siku zote ukitaka kumtuma Mbwa lazima umtupie mifupa...
Feisal Salum (Fei Toto)
Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili.
Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo...
Zanzibar imeibuka kuwa mshindani jasiri wa hafla ya Kiafrika kwenye kalenda ya mchezo wa magari ya Formula 1. Kwa kuungwa mkono na serikali, washindani wanaoheshimika, na wasimamizi wa michezo...
Kwamba baada ya Waalgeria kuzuia Camera za Media za Tanzania kuingia Algeria hivi punde inasemekana wamezuia Yanga SC kuingia na Maji yao ya Kunywa na Unga na Mchele wa Kupika waliotoka nao Dar es...
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo.
Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.