Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tetesi hizi zina ukweli wowote? Kuwa Sunderland the Only One kaweka bilioni 4 kuchukua tenda ya jezi za Simba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC...
19 Reactions
120 Replies
14K Views
Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson. Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na...
1 Reactions
6 Replies
975 Views
Mlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado...
2 Reactions
12 Replies
854 Views
Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Picha: Julian Nagelsmann Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa jinsi navyojua viongozi wa Afrika walivyo wapenda rushwa, Kuna kila dalili ya kuwa klabu hii kongwe imetoa mlungura ili wapewe nafasi ya kushiriki hilo bonanza. Kibaya zaidi ni kuwa...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Binafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho Sababu Sijajua...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwaka 2023 umeanza vizuri kwa Messi akizoa tuzo 3 za IFFHS, huu ni mwanzo tu tuzo nyingine zinakuja nyingi kwa GOAT [emoji238]. Tuzo alizoshinda ni pamoja na best player, playmaker na mfungaji...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa, klabu ya Simba ipo mbioni kuwatema wachezaji hao ili kupisha nafasi ya kusajili wachezaji wapya. Ikumbukwe nafasi za wachezaji wa...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Taarifa za ndani kabisaa zinasema klabu ya Simba imesitisha mpango wa kuongeza wachezaji dilisha hili la usajili, Sababu zilizotolewa ni pamoja na kukosekana kwa wachezaji wazuri sokoni kipindi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi. Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu, Young African Sports Club VS...
0 Reactions
4 Replies
517 Views
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba Juma Mgunda atajiunga na Geita Gold kuanzia leo kama Kocha Mkuu! Hivyo mpango wa kumfanya Kocha Msaidizi umebuma!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Za ndaaaaaani kabisa, #TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki. Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b)...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto...
4 Reactions
8 Replies
959 Views
Back
Top Bottom