Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika.
Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari...
Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu.
Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie...
Maulid Kitenge akija kwenye shughuli yako kama Mc hamna hamna ubaoni uwe na Milioni 15 mpaka 20.
Klabu ndogo ya mkoani kama Singida ambayo inategemea mapato ya mlangoni wanawezaje kumlipa pesa...
Muda mchache ujao wababe wa Anfield watakuwa uwanjani kumenyana na Tottenham huku wakimkosa Trent,
BOSI wa Liverpool Arne Slot amesema beki wake wa kulia Trent Alexander-Arnold ataukosa mchezo...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu
Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje...
I salute you kinsmen.
Kwa kweli kwa sisi tulioona mbali tangu muda tulipinga sana kufukuzwa kwa Gamondi. Mkatuona mazuzu kwamba tunamkubali sana noo. Sisi ni yanga sio Gamondi wala Hersi.
Tatizo...
Mechi ya leo tutamlaumu bure Chasambi na kumsingizia kila jambo, ila ukweli unafichwa.Ukweli ni kuwa watu wanaosafiri na timu yetu mikoani sio waadilifu, wameanza kutuchomesha mahindi, mimi...
Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu...
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa...
JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba...
Huyu kijana ninashauri apewe maua yake
Anatusaidia sana wana yanga kwa kweli
Wengi mnammpigia kelele chasambii hamjaona upuuzi wa kamara alioufanya. Hakuna tofauuti na goli la yanga Yeye yuko...
Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao.
Miaka ya hivi karibuni Simba...
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama
Zifuatazo ni tofauti...
Wakuu Jana nimelia sana hii Yanga inatisha yaani inamchapa mtu 6 bila goal la penalty
Mimi kama mchambuzi m,bobevu wa soka hapa TZ ufuatao ni ushauri wangu Kwa Simba kuelekea derby
1. Wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.