Shirikisho la soka Tanzania(TFF) Limekuwa likiwanyang'anya jezi wachezaji wa Timu ya Taifa kila baada ya mechi. na kitendo cha beki wa timu ya Taifa Canavarro kubadilishana jezi na mshambuliaji wa...
Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa
Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala...
Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku...
Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi
Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati...
Rejeeni magoli mawili aliyofungwa kwenye mechi kati ya Coastal Union na Simba, ni kama la jana tu, anajitahidi kujiweka kwenye kiwango ambacho hana, matokeo yake anagawa uroda kirahisi.
Hongera...
Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya.
Duran aliyesajiliwa kutokea Aston...
Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana...
Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa...
Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
Nyota wa Kikapu, LeBron James ameonesha ukomavu baada ya kuiongoza Los Angeles Lakers kuoata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA.
LeBron amefunga Pointi...
Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi...
Wadau wa Soka la Bongo, Mmesikia huko?
Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.
Wapo Omary Kaaya, Athumani...
Salaaaam wakuu
Kwa jinsi ninavyoona singida Black stars wanavyowasha moto pale kileleni na kuwa namba Moja .......ninapata wasiwasi jinsi upinzani wa kugombania nafasi ya pili baina ya Simba na...
Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars
Mpira wa Tanzania...
El Merreikh wametimua kocha wao mtunisia muda sio mrefu baada ya game na Simba Sc.
Hii kisaikolojia ni nzuri sana next game.
======
Simba yamfukuzisha kocha Al Merrick
Muda mfupi baada ya...
Wakili Peter Madeleka amefungua kesi Mahakama Kuu kanda ya Dodoma akipinga wachezaji 3 wa Black Stars kupewa uraia wa Tanzania, wachezaji hao ni Emanuel Keyekeh (Ghana), Josephat Bada (Ivory...
Inadaiwa kuwa Management ya mchezaji Chasambi ipo katika mazungumzo na SBS ili kumsajili winga Chasambi
Chasambi hana amani Simba, amekuwa akiandamwa na mashabiki wa timu hiyo kuwa anawachoma...
Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu...
Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.