Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga. Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine. Timu...
4 Reactions
11 Replies
360 Views
Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu. Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure...
3 Reactions
19 Replies
612 Views
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema. CHASAMBI angeweza kuikwamua Simba
3 Reactions
14 Replies
667 Views
Jambo hili linanifikirisha sana hasa nikifikiria wale wanaokula 5 halafu inawasajili kama wachezaji bora huku wanapotoka wanaoneka hawafai. Kitendo hiki cha nyuma mwiko sio kigeni kwenye ligi...
4 Reactions
16 Replies
661 Views
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya...
2 Reactions
8 Replies
359 Views
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA: Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Mpira aliopiga leo kurudisha kwa kipa, aliupiga akiamini goli kipa upo eneo sahihi. Kwa bahati mbaya Camara kama kawaida yake alikuwa kaisha liacha goli hivyo ule mpira ulimshinda kuukoa...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Hizi hujuma za wazi. Mhusika anahitaji adhabu kali kutoka kwa mashabiki
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko...
1 Reactions
12 Replies
458 Views
Nashauri huyu dogo afukuzwe, mpuuzi sana
11 Reactions
41 Replies
2K Views
AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu...
1 Reactions
8 Replies
483 Views
Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na...
7 Reactions
17 Replies
968 Views
Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha. Mpo Vitani huku mkijua...
6 Reactions
16 Replies
558 Views
Hapo vip!! Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana. Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na...
5 Reactions
14 Replies
601 Views
Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa...
4 Reactions
16 Replies
441 Views
Mbio hizi zilihitaji timu husika iwe Bora kweli kweli na Ichange karata zake vizuri kwenye Kila mechi ili kuweka sawa mahesabu, Timu ambayo ingeteleza kidogo tu basi ndio ingeanza kutoa fursa kwa...
7 Reactions
20 Replies
775 Views
Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom