Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama...
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili...
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu...
Newcastle United Football Club is a professional football club in Newcastle upon Tyne, England, that plays in the Premier League, the top tier of English football. Founded in 1892 by the merger of...
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.
Arsenal...
Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo...
05 February 1985
05 February 1992.
Wote Hawa ni wazaliwa wa tarehe hizo na miaka hiyo.
Wote Hawa wanacheza eneo moja kiasili ( Winger ) kutokana na mahitaji na mifumo wamejikuta wakiangukia...
Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha...
Paris Saint-Germain
Full name -Paris Saint-Germain
Nickname(s) -Les Parisiens (The Parisians)
Les Rouge et Bleu(The Red and Blues)Short ParisFounded. -12 August 1970; 50 years ago
Ground. Parc...
1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza
2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini
3. Mauzo ya jezi yameporomoka
4.wachezaji wengi...
Sekta ya online betting & casinos ni kubwa sana na inazalisha mabilioni ya pesa kila mwaka. Kuna wale wanaocheza na kushinda pesa, lakini fursa kubwa iko kwa wale wanaomiliki au kupromoti kasinon...
Wazee Ubaya Ubwela jiandaeni Kisaikolojia
AS FAR ya Morocco, inamtaka kocha wenu kipenzi baada ya kumfukuza Hubert Velud leo, tarehe 5 Februari 2025, kufuatia matokeo ya hivi karibuni.
Katika...
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.
Pia...
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.
Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.
Europa hawezi...
Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo...
Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini.
Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania.
Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi...
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa...
Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia.
Mashabiki /wadau wa mpira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.