Wameshatapeli wengi Sana. Watu wanalipia na mkeka hawatoi. Wanachofanya kila ukilipia wataleta gharama mpya Hadi uchoke ukimbie.
Nina dogo wangu anasoma chuo X wamempiga laki na ishirini.
MAVI YA KALE MBOLEA
Maoni ya Mchambuzi nguli Alex Ngereza.[emoji3578]
"Hii jezi ya Blue Simba wamecopy kutoka kwenye jezi za Azam Fc, Simba hawajafanya ubunifu wowote zaidi kuchukua na kuweka...
Juzi kulikwa na game za maandalizi na msimu mpya wa ligi mbali mbali duniani
Na club ya alnasri ipo barani ulaya kwa mechi mbali mbali
Sasa juzi walicheza na benifica wakapoteza kwa 4-1
Icho...
Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia.
Huwa sina Unafiki na Upumbavu na...
Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.
Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda...
DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka...
Uongozi wa Simba Umeamua, Uongozi Wa Simba Umewasha Moto, Uongozi wa Simba This Time Around hawacheki na Mtu yeyote, Uongozi wa Simba This Time Ni Kimodaaa, Ni waya Ya Umeme.
Kwa Usajiri...
Tanzania ustarabu wa usafi hauzingatiwi.
Jana nilikuwa Benjamin Mkapa Studium. Pamoja na kutangaza kufanya ukarabati, sijui wamekarabati nini. Uwanja mchafu kila kona. Kuna nguzo moja nimeona...
Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na...
Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi.
Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K...
Aliyesema Masau Bwire hatorudi Ligi Kuu ya NBC PREMIER LEAGUE Tanzania baada ya Ruvu Shooting kushuka Daraja na huyu ni naniiii!
Jamani zee la maneno ya kukera ndiyo hivyo karejea na misemo yake...
Za ndani zinadai kuwa Msenegal huyu kapata Timu ambayo itamng'oa ndani ya Simba muda wowote kuanzia sasa na kuna uwezekano mkubwa asifike hata Simba Day.
Kama kocha wa yanga atazichanga karata zake vizuri next season kwenye mashindano ya afrika Caf champions league
Nawaona yanga kwenye anga za ajax 2019 ambayo ilisumbuwa vigogo Kama Real Madrid na...
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil 🇧🇷 JEFFERSON LUIS kwa Mkataba wa miaka miwili.
. Jefferson (29) maarufu kama Mikono ya Sumaku anatua Simba...
wakuu
Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu.
Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo .
Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule...