Mzuka wanajamvi!
Winga machachari wa Manchester united mswidi Antony Elanga 21, ndie mchezaji wa mwisho kwa kulipwa mshahara kwenye timu yake ya Manchester united.
Elanga analipwa pauni za...
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini...
Hakuna shaka kwamba Simba na Yanga ni timu za soka za kihistoria zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Timu hizi mbili zimekuwa na ushindani mkubwa kwa zaidi ya miaka 80 sasa na...
Nimefuatilia Siku ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , kiukweli haikufana kama ilivyotarajiwa , sielewi hasa kilichotokea , lakini kukosekana kwa Haji Manara kunaweza pia kuwa kumechangia...
Katika igamimg industty tunaona kwamba kampuni nyingi sana zinakuja kwa kasi hasa katika nchi yetu hapa Tz, kuna vivutio vingi sana kwa wateja ili kubet na haya makampuni.
Ukiachia mbali michezo...
Mtaalamu wa Viungo aliyewahi kuhudumu ndani ya timu ya Simba Adel Zrane amewasili nchini Rwanda tayari kwa kujiunga na Timu ya APR.
Huyu ndiyo kiumbe pekee ambaye alifanikiwa sana katika kipindi...
Huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi.
His life football story might...
Mfumo wa kocha Robertihno ni wa kasi ya ku press bila kupoza mpira, hapendi namna chama anavyocheza, ni bora Chama akaondoka sasa kuliko kusubiri fedheha. Utanikumbuka!!!!
Club ya yanga bingwa WA kupika takwimu tunaomba muweke mapato ya mechi ya Leo kabisa kabla mnyama hajatoka mwituni
Mana hamchelewi kusema Simba kajaza uwanja lakin tumempita kimapato.
Leo full...
Nimesikiliza kipindi cha michezo cha Clouds Leo wakiwanukuu mashabiki wanaojidai ni wa Simba wakiponda kibegi, huku kwangu naona ni kuharibu biashara na sio fair kabisa.
Jezi za Simba zina...
Kasi ya mashabiki kuingia ndani ya dimba la Mkapa bado ya kusuasua mpaka muda huu viti karibia asilimia sitini viko wazi.
Haijafahamika tatizo nini lakini baadhi ya mashabiki wanasema muda bado...
Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na...
Binafsi, pamoja na kuwa ni shabiki wa Yanga, naomba nipongeze uongozi kwa ku-maintain ubora wa timu.
Jaribio la jana, kiukweli lilikuwa ni jaribio KUBWA sana lililokuja MAPEMA sana, lakini bado...
Jambo Jambo?
Wote tunafahamu kuwa skubiduu(Scooby-doo) wa katuni yetu pendwa alikuwa na bado anaendelea kuwa kichekesho kwenye luninga na vipindi vya watoto.
Basi na mimi kama shabiki maandazi...
Simba SC ni klabu kubwa na yenye uwezo mkubwa nchini Tanzania lakini sio sana kuwazidi watani zao #WANANCHI ambao wako on [emoji91][emoji91]. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
Uzuri ni kwamba huyu Mchezaji Jonas Gerald Mkude ninayeenda Kumjadili hapa ukiachia mbali kuwa ni Mdogo wangu Kiumri ila pia ni Rafiki yangu kama walivyo Marafiki zake Wakubwa akina Pazi na...
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.
Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka...
Skudu kasajiliwa siku kadhaa ndani ya Yanga akitokea South Africa, baada ya mazoezi ndani ya AVIC TOWN alikuwa na Mkude wakibonga hapo unadhani ni lugha gani hiyo?
Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana.
Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani...