Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo...... “Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya [emoji1139] amefanikiwa kulipa Kisasi Kwa kumtwanga Bondia Karim Mandonga kutoka Tanzania katika pambano lao lilifanyika Usiku wa Kuamkia leo jijini Nairobi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana. Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo. Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii Yanga ya msimu huu inayotangazwa na Kitenge ni mbovu, mbovu, mbovu. Msiposhuka daraja sijui
5 Reactions
9 Replies
963 Views
Jamaa pamoja na kutocheza mechi za ushindani kwa kipindi kama cha miezi sita kutokana na ligi ya DRC kusimama lakini bado unaona ana kitu. Jamaa ni mwepesi,ana kasi,ana uwezo wa kumiliki mpira na...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Pamoja na kutambulishwa kwa kikosi hiki cha Yanga leo kwenye siku ya Wananchi lakini bado kuna SURPRISE zinakwenda kutambulishwa muda wowote kupitia Platforms zao na hii tunaiita MSOME JIRANI.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ghafla nimemkumbuka Anko Mrisho Ngassa katika ubora wake. maisha yanayoyoma kwa kasi. Kwa sasa yupo mitandaoni akiposti video zake na kuelezea kila anachokifanya katika maisha. Huku katika soka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa wachezaji wawili iwapo watatambua nafasi zao ndani ya kikosi cha Yanga ni dhahiri kabisa Yanga inakwenda kufanya makubwa msimu huu. Sina shaka na uwezo wa Msonda iwapo atatumiwa vizuri na...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Msaada please Match hizi zinaoneshwa Chanel gani hapa Tanzania kwa kisimbuzi gani? USSR
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Sijamuona akitambulishwa leo na wala sijasikia habari zake za usajili kama ilivyo kwa Mayele. Ameenda huyu mwamba?
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo maneno mengi anabutuliwa huko domo analifunga Kenya, sio kila siku ni jumapili.
1 Reactions
7 Replies
815 Views
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kawaida yao timu ya soka ya Azam FC imeshafanya yao huko dakika ya 13' kupitia kwa AKAMINKO mpira ukiwa pishi la SIDIBE
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora. Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
"Kiukweli sijawahi kuvaa Jezi Namba Sita ( 6 ) na siipendi pia na hata katika Timu zote nilizocheza huwa navaa Jezi yangu pendwa namba Kumi na Moja ( 11 )" "Kilichotokea nilipigiwa Simu na Rais...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
“Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…