Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga.
Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa...
πππ₯π¦π πππππ‘π π¬ππ‘ππ
βMimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na...
Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.
"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss...
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.
Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo...
Yanga ni wapinzani wangu na siwapendi, nimefurahi sana kuondolewa leo maana tusingekaa mjini, maneno ya shombo ya zungu pori, maneno ya hovyo ya Ally Kamwe yangetuchoma sana sisi watu wa Simba...
Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe.
Amefanya mambo makuwa sana ndani ya...
Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa...
Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu...
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet...
Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
Takwimu za penati katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo hadi sasa timu zote zimecheza michezo 16.
Simba SC inaongoza kwa kufunga magoli mengi ya penati ikifuatiwa na Tabora United na...
Nimeshangaa baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira kuhusisha usajili wa coach Miloud Hamdi na undugu wa Yanga na Singida.
Watu hawa wana uelewa mdogo
Hii ni professional football watu...
SIKU YA MECHI KALI.
MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.
VIKOSI VYA LEO
Game On
3'...
Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic,
Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi.
Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
Kiukweli mechi ya kwanza tu tayari ameshaonyesha anapwaya. Haihitaji akae bench mechi 10 kujua ubovu wake. Huyu jamaa amekuja kuandika CV yakekwamba nayeye alipita Yanga, sio kuja kutupa uzoefu wa...
Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea.
"Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama...