Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya...
Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne...
Beki wa Pembeni anayepanda na kushuka Mohammed Hussein ameongeza mkataba wa miaka miwili, hivyo ataendelea kuwepo kwenye viwanja vya Msimbazi mpaka mwaka 2025.
Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi
Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa...
Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA...
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko...
Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende...
Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana...
Mabibi na mabwana, kaeni tayari kuendelea kuzibwa midomo kwa nguvu kubwa. Kuna tetesi kuwa DP World wako tayari kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara.
Inasemekana awali ilikuwa mgogoro wa Yanga...
Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili.
Uganda ni my Second Home na nina Rafiki...
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Simba Sports Club wameuliza swali la "NI MCHEZAJI GANI AMEWAHI KUCHEZA SIMBA UNATAMANI TENA KUMUONA AKIWA MSIMBAZI?"
ikifuatiwa na Picha kumi za Wachezaji...
Simba kwa miaka mitano ya ubora wao wamefanikiwa kufika robo final ya club bingwa mara 4 na robo final ya Caf federetion mara 1
Yanga mwaka mmoja wa ubora wao wamefanikiwa kufika final ya Caf...
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu...
Source East Africa redio muda huu.
Haya roho mbaya mnaozusha kuwa kapigwa chini kwa sababu ya uswahili na ukata mna la kusema?
Safari hii mnaahangaika sana kuchochea kuni kwenye jungu lililojaa...
Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music...
Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini...
MVINYO wa Nebiollo unaopatikana Italia ndio mvinyo ambao unasindikwa katika chupa kwa muda mrefu zaidi duniani. Miaka 20. Kadri unavyozeeka ndivyo unavyokuwa mtamu. Unanywewa na matajiri kama kina...
Siri! Siri ! Siri! Hakika ni Jambo kubwa sana ndani ya kikosi /Timu ya Yanga sc imetawala imenifanya NALIA NGWENA nikumbuke Mambo ya kijeshi na mbinu za kivita kipindi napata mafunzo maridhawa...
Wakuu karibuni katika special UFC thread ambapo hapa tutapeana udambwi udambwi wote wa MMA...
Africa huko tunawakilishwa na wengi wanaofanya vizuri mfano ni jamaa kutoka Nigeria anaitwa Israel...