Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate. Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamaa wana kikosi kizuri saa aseee, ila hawana bahati tu.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Uongozi wa Timu ya Soka ya Yanga kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram wamekishukuru kikosi chao kwa kutoka Sare na Timu ya Nyasa Big Bullet ya Malawi katika mchezo wa Kimataifa uliochezwa Malawi...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afisa Habari wa Timu ya Simba Ahmed Ally anauliza kama kesho wapumzike au washushe mashine ya kufukuza/kukimbiza Wanyama Mbugani? Kwa kauli hii ya Ahmed Ally unahisi ni Mchezaji wa nafasi gani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili...
1 Reactions
7 Replies
940 Views
Sheria ya financial fair play kwa makusudi inafanya siasa kwa baadhi ya vilabu vya barani ulaya Ukiangalia timu zinazomilikiwa na serikali kutoka huko uarabuni ni km wapo juu ya sheria wanafanya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Usiku wa Kuamkia leo kulikuwa na Mashindano ya Pool World Cup. Watanzania wangapi tulijuwa hayo. Mashindano yalifanyika Spain. Fainali Philipines dhidi ya Ujerumani. wafilipino waliibuka washindi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Yanga imealikwa kwa heshima kubwa na rais wa nchi ya Malawi, wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika. Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga, hii...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Timu ya soka ya Singida Fountaingate ya mkoani Singida imelichagua Jiji la Arusha kuwa sehemu yao ya maandalizi ya Msimu mpya wa ligi kuu ya #NBCPreamierLeague Tanzania pamoja na Michuano ya Kombe...
2 Reactions
6 Replies
869 Views
Wachezaji wa Simba HABIBU KIYOMBO NA JOASH ONYANGO wanaweza kujiunga na Timu ya Singida Fountaingate ya Singida. Wachezaji hawa wanaweza kuondoka iwapo tu Simba itawapa mkono wa kwa heri au hata...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa. GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99%...
23 Reactions
45 Replies
10K Views
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata...
10 Reactions
100 Replies
12K Views
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika...
30 Reactions
116 Replies
8K Views
Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…