Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

WATANI WANA MAMBO Jumapili yawadia,Ya watani kuumana Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana Hakika litasimama, Jiji la Darisalama. Huku mkongo Zahera, Na...
2 Reactions
6 Replies
620 Views
Hili basi linalobeba wachezaji wa timu ya soka ya Kagera sugar limepaki pembeni ya barabara ya Morogoro-Dodoma maeneo ya Kihonda kwa muda wa mwezi mmoja sasa. Nadhani litakuwa na hitilafu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi. Ninawashangaa mno mnavyosajili.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko. Kudadadeki.
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
WATANI WANA MAMBO Jumapili yawadia,Ya watani kuumana Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana Hakika litasimama, Jiji la Darisalama. Huku mkongo Zahera, Na kule...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Bosi katwiti muda mchache uliopita. Mambo yatakuwa moto msimu ujao. Inasemekana usajili ni wa moto sana.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Siyo kwenye uchambuzi bali utangazaji wa mpira, watangazaji wake wamepoa sana, hawajachangamka, hawana yale maneno tuliyozoea ya kuvutia, hata goli likifungwa, inaboa kusikiliza linavyotangazwa...
1 Reactions
13 Replies
993 Views
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa? Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Ally kamwe : "Kama wanasema Kuna mchezaji kapotea airport na wamemchukua hongera kwao Ila wanachi wasubiri furaha Tena furaha kubwa" Eng Hers "waandishi wa Habari mnaposikia tetesi Kama hizo za...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga ) Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo. Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice. Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…