Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya ====== Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu inadaiwa timu ya yanga imefungiwa kusajili kutokana na kukiuka hukumu iliyotolewa na vyombo vya maamuzi vya FIFA. Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai yake. Na badala...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Baada ya tamko la kiungo wa Simba Nelson Okwa kutamka waziwazi kuwa "viongozi wanapanga kikosi na kumpa kocha awapange wachezaji." NALIA NGWENA nimesikiliza wachambuzi wengi wa nchini baada ya...
3 Reactions
8 Replies
921 Views
Nyie mnasema kwenye mapato yenu mmetumi la weeeeeee zimebaki milioni 500, why mnafungiwa kusajili had mlipe mkwanja wa watu? This is an out and out disgrace, lipeni hela hizo
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24. "Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna club hii ni ya ajabu sana. Kocha wao ameondoka, wachawi wameingilia dili na amerogwa dili lake limebuma. Wachezaji wengi wazuri wakiingia pale na baadae kutakiwa na timu nyingine, huwa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii itakuwaje Wanamichezo wenzangu? Azam ikitoa Pesa ya kutosha kwa Ajili ya Nabi na wakitoa pesa yakutosha kufanya usajili itakuwaje?
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakuna ubishi kuwa Mkude aliwafurahisha wanaSimba kwa miaka 13 mfululizo, aliwatumikia watanzaniaa pia kupitia timu ya Taifa; ni miongoni mwa watanzania muhimu sana. Lakini namna 'THANK YOU" yake...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco. Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Hii team yetu bwana siku zinavyosogea imekuwa jalala. Wenzetu Yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia. Ni nini kama sio kutuona mazumbukuku? Pili inakuwaje...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka nishangae kuona Nabi kama Angekubali ku-Downgrade na kufundisha kilabu kidogo Kaizer Chief au vyenye kufanana na Kaizer Chief. Kwa hadhi ambayo amejengewa na Dar Young Africa SC...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu ya Mbeya City imetozwa faini ya Tsh laki tano (500,000) kwa kosa la watoto waokota mipira (ball boys) kuchelewa kwa makusudi kurejesha mipira kiwanjani kwenye mchezo wa sare ya 3-3 dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Nina taarifiwa hapa kuwa Agent wa NunguNungu amekuwa akihaha kutafuta appointment na Viongozi wa Ngazi ya juu wa yanga siku ya leo hasa Rais wa Klabu. Kinacho msukuma kutaka kuonana na Eng Hersi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
YA GLAZAS NA MANCHESTER UNITED, NI MFANO WA MAHUSIANO YANAYOCHOSHA. Kalamu ya Nasri kulemba.. Baada ya washabiki wa Manchester United kuandamana jana,kulikua na mijadala mingi sana . Tukio hilo...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda. Ukweli ni kuwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa Ujumla jibu ni HAPANA. Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
WAKATI mwingine dunia unaweza kuiweka mfukoni. Unaishi katika dunia ambayo unaitawala. Dunia ambayo unatingisha na inakunyenyekea. Dunia ambayo unaibabaisha. Nimecheka namna ambavyo Kylian Mbappe...
11 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ilitokea baada ya mechi ya Mbeya city vs Yanga kumalizika juzi, ama kweli mazoea hujenga Tabia.
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Dili la Kocha Nabi Laekekea Kushindwa South Africa, Msimamo Wake Wamponza maskini...Dili la Kocha Nabi Laekekea Kushindwa South Africa, Msimamo Wake Wamponza Mazungumzo kati ya Kaizer Chiefs na...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…