Revealed: Premier League transfer spend table - with surprise club beating Man United, City and Chelsea to top with £231.4m splashed out... and which giants are BOTTOM with just £34.7m spent...
Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke.
Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti.
Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester...
Kama mnadhani neno sanda ni rahisi basi hamjui nini maana ya brand ya timu. Kuna siku mtu atakuja na jina "maiti" au "misukule" kwa vigezo vile vile vya sanda.
Kuna balozi mmoja wa nchi fulani...
Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo?
Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili...
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.
Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize...
Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji.
Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo...
Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi
Mkataba wake unakoma June, 2025
Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya...
Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.
Hujawahi kutuangusha...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano...
" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama...
Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia
Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂
Sawa Max Nzengeli ni...
Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana.
Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani...
Eric Crumble (amezaliwa Disemba 10, 1966) ni bondia wa zamani wa Marekani, na akiwa ni mmoja wa mabondia maarufu kwa kupigwa mapambano 31 kwa mtindo wa KO.
Tangu acheze kwa mara ya kwanza mnamo...
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha...
Hii mtaani tusema
"Utaoga lakini mjini huendi"
Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni
Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili...
Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi...