Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na...
Timu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi
Mheshimiwa bi Fatma...
Sisi waislam tumefundishwa kuwa alama za mtu mnafiki ni tatu, kwanza akisema hatekelezi, Pili ahadi zake za uongo.
Ally Kamwe ameingiza tena mjini wanachama na mashabiki wa Utopolo kuwa timu yake...
Nimepata jibu kwanini yanga wametafuta huyu kocha
Falsafa moja ya yanga ni kushambulia sio ugenini au nyumbani
Ndivyo kocha nabi alivyo wazoeza
Na huyu kocha mpya ni mpenzi saana wa mpira wa...
Sisi tunataka kusikia Messi kasajiliwa Msimbazi au kule matopeni tumwagilie moyo wetu basi, hata kama kukawa na upigaji sisi hilo halituhusu, sisi lete wachezaji wakali wapasie nyavu tutukanane na...
Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano mikuu ya vilabu vikongwe kabisa hapa nchini Simba na Yanga, mikutano inakuwa na mambo mengi na wakati mwingine ikibainika mkutano utakuwa wa moto wanasubiria...
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke
Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa...
Vijana wa Mashujaa FC wamepanda daraja msimu ujao.
Wamenikumbusha enzi za RTC Kigoma wakati huo ikiwa na golikipa Patrick Mwangata ambaye baadae alienda Simba, winga Sanifu Lazaro Tingisha na...
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya...
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tuliobarikiwa Upeo uliposema tu Mkutanoni leo kuwa Yanga SC imetumia Shilingi Bilioni Mbili ( 2 ) mpaka ikawa Mabingwa na Makombe yote na kulikosa tu lile la...
Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma.
Said Swedi Scud ni...
Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani...
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho.
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier...
Nimekuwa nikiunga mkono kushushwa daraja kwa hawa wapuuzi Mbeya City ila kitendo alichofanya yule jamaa ni uhuni mtupu.
Huwezi kumpiga ngumi kocha wa timu pinzani, ni ukosefu wa nidhamu kwa...
Hakuna timu nzuri kwasasa East Africa zaidi ya yanga hii. Watu wengi watanibishia kwasababu ya ushabiki wao
Lakini naomba ni waambie kitu. Mwaka 2022 niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga...
Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa...