Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao na vijana waanzilishi wa UNI AWARDS na kujadili namna bora ya kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Leo ni siku ya mechi ya Nifuate kati ya Team Samata vs Team Kiba uwanja wa Chamanzi jijini Dar es salaam tuwe pamoja kwa updates za moja kwa moja toka hapa uwanjani
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam. Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)? Tumewahi kumuona mara...
48 Reactions
396 Replies
13K Views
Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao wamefungiwa. Ni muhimu kuzingatia kuwa wadau husika wamefungiwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi wakifanya mazoezi katika Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Benjamin Mkapa ambao unatumiwa na nchi kadhaa za jirani baada ya viwanja katika nchi hizo kutokidhi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Joyce Lomalisa Mutambala Kunaa vuguvugu chinii kuwaa Full back Bora ya mpira inataka kuvunja mkataba Wananchi na Tanzania nadiriki kusema hatukuwahii kumshuhudia beki Bora wa pembenii zaidii yaa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukimya huu ina maana kuwa viongozi wa Simba SC pamoja na kocha wameridhishwa na viwango walivyovionesha msimu uliopita? Kila nikikumbuka nyimbo za mashabiki kumuhusu Bocco naona kabisa kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kweli tunahitaji kufuzu Afcon basi kazi ya ziada ifanyike maana wenzetu licha ya kufuzu lakn kesho jumanne wana ratiba ya kucheza friend match na Tunisia, sisi huku tumeshavunja kambi na kila...
2 Reactions
4 Replies
989 Views
Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia...
20 Reactions
68 Replies
4K Views
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi, umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana. Yanga ndiyo...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
"....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!" Duru.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
7 Reactions
84 Replies
9K Views
Yes halipingiki Azam sio sana ila Simba wanakunywa mvinyo kufurahia tetesi za Fiston Kalala Mayele kuondoka ndani ya mabingwa mara 29 na washindi wa medali kombe la Afrika shirikisho oo nimetaka...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE). Huu ni utabiri tu, unaweza...
22 Reactions
111 Replies
10K Views
Mchezaji wa soka kutoka team ya Al Merreickh ya Sudan aitwae Ahmed Abdelsalam, hapo pichani chini, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake. Mchezaji huyo amekutwa na umauti...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari zenu, Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na mashabiki wa Simba SC walivyokua wanamtukuza Adebayor baada ya gemu ya Taifa stars kuisha. Mashabiki wa Simba ni fuata upepo kama bendera, wamesahau kuimba nyimbo za Moses...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
" ...why not! Brother mwenye yake bilioni 2 aje na tutamuuzia Mayele mchana kweupe!" Duru.
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Juni 09, Mwaka huu Bondia Nasibu Ramadhani alipanda ulingoni nchini Norway kupambana na Bondia Bernard Torres katika ukumbi wa Chateau Neuf ulioko mji wa Oslo. Katika pambano hilo Bondia wa...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Kipindi cha Michezo Clouds FM cha jumapili alizungumza hayo maneno akiwa Kama mchambuzi asiyekuwa na hoja Bali kaamua kuzungumza tu ili siku iende na boss wake Kusaga amlipe mwisho wa mwezi...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…