Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku...
Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga.
Wacha washinde match zoooote...
Wote tumeshuhudia mechi ya ovyo ya upangaji matokeo
Watanzania wote tungeshangaa kama matokeo yangekuwa tofauti na haya
Yaani Rage mlezi wa Tabora United ambaye ndo alikuwa Mwenyekiti pale...
Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao.
Referee ni yule yule Rose Mhando
Hawana fitness ya kueleweka
Rage yupo kwenye kamati kuu
Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+...
Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.
1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana
2.Ubora wa kikosi...
Somo la uzalendo limekuwa gumu sana hapa kwetu ,wenzetu huko epl na ulaya yote kwa ujumla timu ya nyumbani inapocheza hata na timu kubwa unayoishabikia uzalendo ni kuvaa jezi ya timu ya nyumbani...
Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .
Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati...
Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta...
Kwenye suala la jezi, moja ya kitu cha kuzingatia unapoangalia uwezo wa jezi kuhimili joto siyo tu material iliyotumika kama baadhi ya watu wanavyodhani lakini pia rangi. Hii ni kwa sababu rangi...
Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC...
Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi
Mechi hiyo ni...
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kufanya vipimo vya Afya, leo Jumapili Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na Aston Villa kwa mkopo...
Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki...
MICHEZO: Wakati Ligi kuu Soka Tanzania bara ikisubiriwa kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari baada ya michuano ya CHAN2024 kushindwa kufanyika mwezi Februari Mpaka Machi, Klabu ya Simba ndio kinara...