Mchezaji wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi amefunguliwa mashtaka ya ubakaji.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 amemshutumu Hakimi, ambaye pia ana umri wa miaka 24, kwa kumbaka nyumbani kwake...
Manchester City will battle with holders Real Madrid for a place in the Champions League final after knocking Bayern Munich out.
season after missing a penalty as Manchester City drew 1-1 at...
Timu ya soka ya Tottenham Spurs imetangaza kumfuta kazi Antonio Conte , Conte amefutwa kazi kutokana na mgogoro na wachezaji wake pamoja na mwenendo usioridhisha wa Timu hiyo.
---
Picha: Antonio...
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League...
Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16...
Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo.
1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza...
Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022.
Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili...
Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo.
Hiyo inamaana kuwa...
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa...
Kwa wale wanaofatilia Ligi ya Mabingwa Ulaya, na Ligi Kuu Italy yaani Serie A bila shaka wameshaiona ni jinsi gani Napoli wanavyoshambulia kama nyuki. Nikisema huvyo bila shaka mashabiki wa...
Wadau naomba nijielekeze kwenye mada tajwa.
Wengi tunajua mechi za Simba na Yanga huwa ni tukio la kitaifa kama sio kimataifa na hugusa watu wengi,bahati mbaya naona Kuna kikundi kichache daima...
Na KENGE,
25 March 2023 ni siku ambayo Kocha Thomas Tuchel(TT)anasaini mkataba wa kuinoa miamba ya ujerumani Bundasliga BAYERN MUNICH baada ya kumfuta kazi Julian Nagelsmann.
Katika EXCLUSIVE...
Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili.
Wapizani wa...
Kiukweli mpira wa Tanzania ili utoboe unahitaji kujituma, kutokata tamaa na uvumilivu wa viwango.
Kiukweli Mimi ni shabiki na pia mwanachama wa Dar es salaam Young African, naipenda sana hii timu...
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya.
Halafu anawaambia watu...
Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti.
Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu...
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kuhusu hali ya usafi na utunzwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Nimejaribu kupitia nadharia mbalimbali na uzoefu niliokuwa nao kwenda viwanjani mara kwa mara...
JUZI kulikuwa na mechi ya watani pale Temeke. Simba na Yanga. Hadi wakati naandika makala haya sifahamu matokeo yalikuaje, lakini nafumba macho na kuvuta picha nzito ya pambano hili tangu nikiwa...
Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa...