Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Real Madrid Vs Chelsea Inter Vs Benfica Man City Vs Bayern Munich Ac Milan Vs Napoli Nusu Fainali - Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica - Mshindi...
15 Reactions
115 Replies
8K Views
Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika. Mechi ya Leo ya Simba na Yanga...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Kumekuwa na posts na nyuzi za kujifariji kuwa matokeo ya kwenye derby haihusiani na ubora wa timu kwamba hata timu bora huwa inafungwa. Lakini nawakumbusha tu kuwa kwenye hii derby underdog...
1 Reactions
1 Replies
608 Views
Hawa wote walikuwa ni mabeki wa kati. Pia wote walikuwa ni makepteni katika timu zao. Wakati John Terry alikipiga Chelsea, Nemanja Vidic alikipiga Man United katika EPL. Kwasasa wote...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Hongera mtani! Hongera mtani kwa kutwaa/kutimiza ndoto yako uliyokuwa ukiiota kwa muda mrefu kwamba "Utamfunga mtani (Yanga), ingenishangaza endapo Simba ingedondosha point 3 mbele ya Yanga, sijui...
1 Reactions
13 Replies
989 Views
Wasalaam!!! Inawezekaneje: 1.Kumpiga mait harafu ujitape kuwa wew Ni shujaa??? 2.Kumpiga mtoto wa chekechea harafu ujidai kuwa wew Ni mwamba?? 3.Kumpiga na bunduki mtu Mwenye gobole harafu ujitape...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli...
0 Reactions
7 Replies
706 Views
KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa. Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho...
9 Reactions
79 Replies
3K Views
Mpira ni starehe ukifungwa kibali Maisha yaendelee. Tusifanye mpira kuwa vita au imani za ki biblia au Quran. Waliogundua mpira waligundua ili ajira ziongezeke. Hawa wachezaji Wana Maisha baada...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
PARIS, UFARANSA. Hivi karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation. Kazi...
14 Reactions
35 Replies
2K Views
Mayele ni mchezaji mzuri hasa kwa jitihada zake za kujituma awapo uwanjani. Ila kwa mtazamo wangu licha ya mazuri yake kwa upande mwingine amekuwa akiighalimu sana timu kutokana na uchoyo...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Jifunzeni kwa Simba, ukiangalia mgawanyo wa ufungaji kwenye Simba, utagundua kwamba wafungaji ni wengi na siyo timu nzima kutegemea mfungaji mmoja tu.
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…