Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match. Bayern announce that...
10 Reactions
120 Replies
8K Views
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi...
14 Reactions
134 Replies
8K Views
1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao. 2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika. 3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale...
18 Reactions
88 Replies
7K Views
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea...
9 Reactions
100 Replies
8K Views
1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au...
17 Reactions
76 Replies
5K Views
Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season. Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani? Kwa haraka ukipiga...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyo
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya...
5 Reactions
87 Replies
3K Views
Kwa nguvu na kasi yake, tutegemee majanga upande wa Djuma Shaban. Possibility ya penati ni kubwa sana. Pia ni msaada kwenye kukaba. Nadhani ni chaguo sahihi kwa upande wao
22 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna nyuzi kama mbili hivi nisha wahi kuzileta humu na zote nilisisitiza kuwa simba yaweza kuwa mbovu kwa kiasi fulani lakini sio mbovu kama wachambuzi uchwara wanavyo tuaminisha, ukiendea kichwa...
14 Reactions
20 Replies
1K Views
Sasa kwa akili yenu Yanga mlitegemea mshinde game hii kwa kigezo cha kuongoza kile kigroup chenu cha wakongwe kina Mukoko Tonombe? Hii ndo maana kwamba Simba, Wanalunyas, Taifa kubwa, Mwana...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu...
0 Reactions
5 Replies
425 Views
Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet. Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa. Duru zinasema...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Huwa nawashangaa sana watani wa jadi Simba na Yanga, mara zote kabla ya mechi utashuhudia majigambo na mbwembwe nyingiii halafu tunafika uwanjani kwa wingi tunashuhidia mpira wa makaratasi! Huuu...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kufunga magoli matatu yaani Hat trick kwa mchezaji mmoja katika mechi ya watani wa jadi yaani Simba na Yanga ni jambo gumu sana na ni rekodi ya aina yake. Hata hivyo...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
5 Reactions
87 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…