Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini...
Ligi yetu tunaambiwa inakuwa kwa kasi lakini aisee nikiangalia mechi ambayo haipigwi Azam complex huwa sioni mvuto wowote..
Tuwekeze kwenye viwanja aisee...Kwa Mkapa hadi leo hamna hata tv...
Mchezaji mwenye kipaji cha kukimbia na kuweka mpira wavuni amewavua nguo PSG.
Klabu ya PSG ikiwa kwenye kampeni za maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2023/2024 ilimtumia Mbape kutangaza vitu...
Katika pita pita zangu katika vijiwe vya kahawa vijiwe nongwa pamoja na vijiwe vya vya kidigital vinavyotaka timu ishinde tu hata Kama haina uwezi lakini mashabiki hawalijui Hilo.
Nimepatwa na...
Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco,
Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee...
Wakuu Salam zenu
Baada ya droo kupangwa na Kila timu kumjua mpinzani wake kumetokea kitu ambacho hakikutalajiwa hapa bongo especially Kwa dunduka fans
Mitaa yote kimya, zile mbwembwe za...
Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED AL
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.
Na jana nilicheki replay ya game...
Shukrani ziende kwa kocha wa Barcelona Kijana Xavi kwa kufukia kwa haraka pengo liliokuwepo
Barcelona na real madrid leo wanacheza mchezo wa nusu fainali copa del rey
Timu zimekutana mara 252...
Naona sasa hivi kimya hakuna malalamiko dhidi ya TFF.
Nimeanza kuona wakilalamikia CAF kuwa wako karibu na Mnyama kimchongo mchongo.
Ni lini TFF ya Karia imeacha kuwanyanyasa enyi utopolo mbona...
Joshua (33) amepata ushindi wa kwanza tangu Mwaka 2020 licha ya mashabiki kutoridhishwa na kiwango alichokionesha katika pambano hilo lisilo la mkanda la raundi 12 kwenye Ukumbi wa O2 Arena...
Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.
Note...
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.
Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.
Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Karibuni katika Matukio mubashara (Live Updates) ya Mechi ya watani wa jadi "Kariakoo Derby" kutokea Uwanja Mkuu wa Taifa maarufu Kwa mkapa..
Kipute kinatarajia kuanza saa 11 jioni...
Simba...
Ni mechi ya kupindua matokeo na kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Disemba 23, 2018 kwa wawakilishi wa Tanzania, Simba SC watakapokuwa wakikwaruzana na Nkana FC kutoka nchini...
Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.
Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu...
Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.
Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa.
Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
Utabiri wangu msimamo wa Premier League kuelekea msimu 2022/23.
C. MAN CITY
2. LIVERPOOL
3. MAN UNITED
4. TOTTENHAM
5. CHELSEA
6. ARSENAL
7. ASTON VILLA
8. WEST HAM
9. BRIGHTON
10. CRYSTAL PALACE...