Serikali imejipanga vema kusimamia na kuendeleza michezo sita ya kipaumbele ya kimkakati ikiwemo mpira wa kikapu ili kuleta tija katika sekta ya michezo nchini.
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni...
Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC...
1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo
3. Hii timu ya Yanga kwa namna...
Kuamka Alfajiri, au nyakati za jioni kuvaa kiatu, kwenda uwanjani, kuifuata barabara nyoofu. RUNNERS.
Uzi huu naomba uwe maalum kutukutanisha wakimbiaji, tupeane dondoo za ukimbiaji, takwimu za...
Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu;
1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha.
2...
Wakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi.
Clatous Chama amekuwa akipangwa winga huku Saido Ntibazonkiza akitumika kama kiungo...
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka...
Baada ya mechi ya kibabe Jana kuisha Kwa mnyama kuchukua point 3 za nguvu pale Kwa mkapa hatoki mtu ( isipokuwa Raja Casablanca na Young Africans). Na kujihakikishia mguu ndani vs nje kwenda robo...
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja...
ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa...
Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana.
Huu...
Wakuu maajabu huwa hayaishi Bunju. Baada ya majina kadhaa kupita Msimbazi kama makolo FC, mbumbumbu FC, mikia FC.
Leo timu kubwa ya Uganda, Vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii...
Huu ni mpango wa ukarabati wa Old Trafford kutoka Qatari Royal uliowasilishwa kwa Glazers.
"Old Trafford" mpya itakuwa na viti vyenye joto katika sehemu maalum, na kutakuwa na viti 100,000 kwa...
Mtu yeyote atakaye bisha kuhusu kushuka kwa ubora wa simba basi sio mwana michezo bali ni shabiki maandazi.
Ila tatizo ni pale watu wanapo zidisha chumvi kupita kiasi juu ya ubovu wa kikosi cha...
Najaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko.
Mimi...
Mo...mmoja wa matajiri lialia wa simba kuwahi kutokea pale msimbazi.
Ni very rare kupata watu wa hivyo. Si mfadhili tu bali ni mshabiki anayeumia simba ikipoteza.
Yapo majungu juu yake ili akate...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, (Mb) akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
A
WAKATI vigogo waliowahi kuongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakifichua kwamba sakata la Feisal Salum ‘Fei Toto’ linacheleweshwa na mchezaji mwenyewe na TFF haiwezi kulimaliza bila kuwepo...
Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya...
Ama kwa hakika kwenye nchi hii we jitendee wema ujiondokee !
kifo cha Ramnik Patel maarufu kama KAKA , aliyewezesha timu ya Tukuyu Stars ya mjini Tukuyu , Wilaya ya Rungwe , mkoani Mbeya kutikisa...