Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na...
3 Reactions
10 Replies
717 Views
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
"Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam.. Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku...
16 Reactions
148 Replies
7K Views
Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki. Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Feisal ni mtoto na kama angepata wakubwa yeye na mama yake walitakiwa kukalipiwa. Feisal kuishi na watu sio Zanzibar kama unavyosikia muungano na kumbuka wanaokuchochea sio watakao kusaidia...
0 Reactions
5 Replies
439 Views
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi. Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako? Ulianza na wale wa Bernard Morrison. Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa. Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva...
30 Reactions
179 Replies
6K Views
Mkutano wa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Waandishi wa Habari Kumtambulisha Kocha Mpya wa Timu ya Taifa Stars [emoji414] 07 Machi, 2023 [emoji792] 04:00 Asubuhi
1 Reactions
7 Replies
832 Views
Erik ten hag wakati anapewa mikoba kuinoa man utd aliwahi nukuliwa akisema "Ninawaheshimu liverpool na manchester city lakini naweza kuona enzi zao zikiisha." lakini timu zote hizo mbili ndizo...
1 Reactions
2 Replies
478 Views
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league. Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika. Leo watakipiga...
2 Reactions
16 Replies
669 Views
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah. Baada ya kupokea maamuzi...
14 Reactions
160 Replies
9K Views
Inaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa. Tumekuwa na mashindano mengi hapa...
1 Reactions
13 Replies
612 Views
Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na...
1 Reactions
10 Replies
687 Views
Sakata la Feisal na klabu ya Yanga bado linaendelea katika mgogoro wa kimkataba kati ya Young Africans na mchezaji wake Feisal Salum ambaye alitaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu hivyo...
10 Reactions
61 Replies
3K Views
Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…