Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga...
26 Reactions
118 Replies
7K Views
Mwaka 2021 majira ya joto Manchester City walipeleka ofa Tottenham ya Dola mil 100 kutaka kumnunua Kane. Tottenham wakatia ngumu kumuuza. Kane akagoma kujiunga na timu yake kwa ajili ya mazoezi ya...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo la msingi tumenyanyua kwapa[emoji1787]nabado tuna nafasi yakunyanyua tena , man akishinda kombe hata kama ni dogo hugeuka kubwa , duniani kuna mashabaki wa man...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri. “Wachezaji wa sasa ambao wanaweza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Amchakaza mfaransa Kwa fedheha😁😁
0 Reactions
6 Replies
513 Views
Hivi uchawi unafanya kazi kwenye mpira? Mimi nina mdogo wangu ana miaka 14 mwaka kesho hapo atakuwa na miaka 15. Sasa huyu mdogo wangu ni mchezaji wa mpira, anapenda mpira sana. Na kwa bahati...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya. Uwepo wa Top Strikers kama Mayele na Musonda...
18 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana...
6 Reactions
10 Replies
729 Views
Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji. Dribbling Poor...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Waarabu noma, kumng'oa Nabi Yanga. Katumbi atia mkono. Kocha huyo amewashusha presha mashabiki wa Yanga, lakini ghafla limeibuka jambo jingine ambalo limewafanya mabosi wa klabu hiyo kuanza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kanuni na Sheria za Mpira huwa zinawakandamiza sana wachezaji na kuinufaisha club, mara nyingi ndio huwa hivyo. Timu inaweza kumsajili mchezaji na asipo perfome vizuri huwa zinaweza tamatisha...
2 Reactions
13 Replies
668 Views
Brentford will play in the Premier league next season, it is the first time in 74 years after beating Swansea 2-0 in the Championship Play - Off final. Huu ndio uvumilivu tunaousema miaka yote...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna mashabiki wa simba/zuwena fc wamejipa jukumu la kumtetea fei..wanajikuta wanajua mambo mengi ya timu kubwa kuliko timu yao yenye migogoro ya viongozi kila kukicha. NAWAKUMBUSHA TU kama...
5 Reactions
13 Replies
655 Views
Dah Liverpool 7-0 man utd Ni mwendo kuogelea kichapo, kiherehere kiishe, man City na liverpool ziheshimiwe EPL Red devils kwenye ubora wao
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi...
8 Reactions
125 Replies
5K Views
Wakati mazungumzo yakiendelea kuhusiana na hatma ya mkataba kati ya Yanga na mdhamini wao SportPesa, Rais wa Yanga Hersi Said amekiri kuwa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vinaibana Yanga...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ile kaulimbiu kuwa 'form is temporary but class is permanent' imedhihirika leo pale Anfield. Man united wamekumbushwa class yao. Hata hivyo poleni wahusika
3 Reactions
11 Replies
943 Views
Raia huyo wa Brazil anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika. Firmino (31) amekuwa klabuni hapo tangu Mwaka 2015 amecheza mechi 353, akifunga magoli 107 na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Aliyekuwa Mlinzi wa Klabu ya Polisi Tanzania , Mtibwa Sugar Iddi Moby Mfaume amefariki huku chanzo cha kifo chake kikialifiwa kuwa “Iddi Moby amedondoka tu Gafla wakati anakimbia Barabarani...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…