Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mechi za marudiano ya michuano ya CAFCL na CAFCC ni week ijayo tu ambapo Simba SC na Yanga kwa pamoja zitazitupa karata zao za mwisho kuwania nafasi za kuingia hatua ya makundi, katika hiyo...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Simba walikuwa na mapungufu muhimu ya kiufundi ambayo kwa hatua wanayotaka kupiga hasa huko CAF ilihitaji kuyarekebisha. Pungufu la kwanza lilikuwa ukosefu wa ubunifu katika kupenyeza mipira...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team. Leo hawa Mbwa...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha karibuni, nimeshuhudia marefa wa kike waliochezesha mechi za ligi kuu wakizongwazongwa na wachezaji kwamba hawakubaliani na maamuzi yao. Hii imekaaje? Kwamba waamuzi wa kike...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Baada ya kuachia kipigo cha 3-2 dhidi ya Mbeya City🟣 katika ile Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241], leo January 22, 2023 Wataalamu wa kusakata kabumbu ukanda huu EAC na COSAFA Wekundu...
12 Reactions
490 Replies
23K Views
Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe...
5 Reactions
13 Replies
940 Views
Marcus Rashford amefunga mabao 9 katika mashindano yote tangu ilipomalizika michuano ya kombe la dunia, ambayo ni mengi zaiidi ya mchezaji mwengine yoyote kwenye zile ligi tano bora barani ulaya...
4 Reactions
8 Replies
976 Views
By Edo Kumwembe. RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba alikuwa katika ubora wake mbele ya vinasa sauti vya waandishi wa habari baada ya pambano kati ya Singida Big Stars na Mlandege kumalizika...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd. Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua. Haya Maulid...
1 Reactions
3 Replies
742 Views
Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita. Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote. Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
2 Reactions
15 Replies
1K Views
1. Aishi Manula (Nisiyempenda ) 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Mohammed Outarra (Nisiyemwamini) 6. Ishmael Sawadogo (aliyekosa Timu tokea February mwaka Jana 2022)...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka duniani (Fifa) Bw. Sepp Blatter, amesema mchezaji wa soka wa Argentina Lionel Messi hakustahili tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Simba, chama langu nalolipenda kuliko hata kula itafanya mkutano wake tarehe 29 mwezi huu na moja ya agenda ni uchaguzi wa nafasi mbalimbali zilizo wazi, mmoja wa wagombea ni mwenyekiti...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Soka au kabumbu kama wengine wapendavyo kuita au kama hutotumia neno mpira wa Miguu ni Burdani sana Utamskia kijana asiye hata na Msosi getho akitegemea lishe ya Dingi na Bi mkubwa akisema...
2 Reactions
13 Replies
767 Views
Imekuwa ni kawaida sasa Timu mgeni zikicheza na Simba uwanja wa taifa lazima wamalize pungufu kwa mchezaji wao mmoja au zaidi kupewa redi kadi huku Simba wakipewa penati zenye utata. Je, TFF na...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Ukiangalia mechi ya jana utagundua Ronaldo ni mgonjwa haswa kichwa chake hakipo sawa. Alivyokuwa anashangilia ile mechi utadhani kuna kombe linapiganiwa. Wanaume wametoka Ulaya wameenda uswekeni...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Mtandao wa Ndoni wa Boxrec umebainisha kuwa mpiganaji kutoka Uingereza Liam Smith ambaye pambano lake la mwisho alipamabana na Bondia wa Tanzania, mwenye maskani yake nchini Marekani Hassan...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…