SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu.
Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe...
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira...
Siku zote Kwa watu Wenye busara tatizo huzaa Somo.
Jana Mwamuzi Stuart Antwel akishirikiana na Waamuzi wa VAR kwenye Mechi ya Mahasimu wa Manchester ameanzisha mtifuano wa hoja dunia nzima...
"Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima.
Chanzo: EFM Sports...
1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na...
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao, yaani kiufupi ni kuwa hawakuitajika na Wala hawakuwa na umuhimu wowote...
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja...
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo
Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara...
Licha ya kuwa alijiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester City kwa Paundi Milioni 50, Sterling (28) na kusaini mkataba wa miaka mitano, ameshindwa kuwa na uhakika katika...
Tanzania’s top professional boxer Karim “Mtu Kazi” Mandonga has been offered a bout in England after achieving a technical knockout (TKO) in the sixth round against Kenyan Daniel Wanyonyi.
Juma...
Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano...
Mmezoea. Mlivokosa haya mtaanza tena tetesi za huyo mtu kutua Simba. Nashauri mkome kabisa. Mnachafua sana mitandao kwa tetesi magadi wakati hela hamna. Mkome
Sent from my SM-A307FN using...
Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na...
Yaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji usiku naichukia sana, sio jambo fair kwa mashabiki...
Huwa sipendi kuficha jambo,...!
Nasikitishwa na UPUUZI wa baadhi ya watu yamkini hata miongoni mwetu.
Wana-Yanga...! Huwa tunatengeza mianya sisi wenyewe ya kushambuliwa na maadui zetu...
Timu hizi mbili zote zina rekodi ya 49 unbeaten, zote zimefungwa mechi moja moja za ligi, zote zimedroo mechi mbili mbili tu za ligi na zote zimeng'ang'ania kileleni mwa ligi.
Arsenal kacheza...
Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau...
Karibu bongo
===
Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili mshambuliaji Jean Baleke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka klabu ya TP Mazembe kwa mkataba wa miaka miwili.