TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko...
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia...
Mpaka ninavyoandika kuna Mechi Kati ya Newcastle United na Fulham ikiwa ni dakika ya 77. Dakika ya 74 Fulham walipata penati baada ya VAR kuonyesha mchezaji wa Fulham alikwatuliwa akiwa ndani ya...
Labda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Spurs anaenda kushinda mchezo huu.
Pressure ya the gunners iko juu, Conte ana hasira ya kuprove, Wachezaji wa Spurs have nothing to lose...
Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai...
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO
Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’...
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti...
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.
Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na...
Labda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Manchester United anaenda kushinda mchezo huu.
Team spirit iko juu, team form ipo juu, tactically wameanza ku-improve.
Niko tayari...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi...
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye...
Machampion watetezi wa ligi kuu ya Nbc na kombe la Azam Federation Yanga jioni ya leo imemtambulisha mshambulia wa kimataifa wa Zambia Kennedy Mussonda kutoka klabu ya Power Dynamos Fc ya huko...
Nimepitia asubuhi mtandao wa livescore kuangalia gemu za Leo ili nitumbukize mzigo, nimeona kwenye sehemu za club friendlies kuna gemu nzito baina ya CSKA Moscow na Simba, hiyo ni fursa kubwa kwa...
Klabu ya Simba Sports Clubs inatarajia kushuka dimbani kuikabili Timu ya CSKA Moscow ya Urusi.
Mechi hiyo ya Kimataifa ya kirafiki itapiga majira ya saa Tisa mchana kwa saa za Afrika Mashariki...
Ngoja tuzungumze kitu.
Kwanini mtani umeshindwa kumuiga Bingwa wa mara zote wa Ligi Kuu linapokuja suala la "Players recruitment"?. Haiwezekani kilaa dirisha la usajili wewe unaacha kundi la...
Hatimaye ni miezi kadhaa sasa imepita tangu tuambiwe Manzoki kapanda ndege kutoka China kwa ajili ya kuja kusinya pale Simba.
Ajabu Manzoki hafiki tu, sijawahi kufika China nisiwe mwongo sijui...
Kuna kijiubaridi kinanijia. Jumamosi kuna dabi ya jiji la Manchester, halafu Jumapili kuna dabi ya London. Sina uhakika sana ila niamini mimi, dabi ya jumapili itakuwa gumzo kuliko ya jumamosi...
Nianze kwa mfano huu ninapoishi kuna mti wa mwembe watoto hawakauki kwenye huu mti wakitungua maembe, siku moja nikamuuliza mtoto mmoja kwanini mnapenda sana maembe ya huu mti.
Jibu lake Baba...
Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa...