Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari zenu wanasoka.. Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele.. Binafsi sijapenda hii dhana...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Vipimo hivyo ambavyo wanapimwa viganja na mifupa (MRI) vimebaini wachezaji hao wamezidi umri unaotakiwa katika kikosi cha Chini ya Umri wa Miaka 17, na hivyo kuondolewa kikosini, wakianza harakati...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wapo mitandaoni wanmwaga matusi tu, Ila mzee amegonga kwenye mshono. Hawezi Kusema kuwa messi ni greatest mana yeye alishawaona Maradona na Cruyff, Na pia amefundisha wachezaji wengi sana ambao...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Mechi nyingine ya kuamua nani abaki nani asalie Singida amepewa nafasi kubwa sana kushinda mechi hii kutokana na kikosi chake kuwa kamili tofauti na Yanga ambao wao wamejaza wachezaji wengi...
9 Reactions
266 Replies
12K Views
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo...
3 Reactions
16 Replies
765 Views
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup. Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha. Viongozi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wameona wasitoke patupu. Wamerudi na jina zuuuuuri
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
2 Reactions
9 Replies
596 Views
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Eti mitandao yote Leo imeandika kwa pamoja na maneno yale yale kuwa kocha mpya amevutiwa na uwezo wa Kibu na atambadilisha, huo ni uongo mtupu na ni mchongo tu wa kutaka mchezaji huyo ambaye ana...
2 Reactions
11 Replies
841 Views
Habari Wana JF Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa. Binafsi kocha...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali...
11 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari za mda huu, Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mechi ni saa 20:15 Muda huu ishaanza Ghazwat Greatest Of All Time Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?
5 Reactions
296 Replies
15K Views
Hii top ten yangu . Wengine mnaweza weka yenu tupate ..ya wote .. ikiwezekana 1.Karim Mandonga 2.Mayele 3.Chama.. 4.feitoto 5.Kiduku.. 6.Mwakinyo 7.Phiri 8.Aziz Ki 9.Barbara Gonzalez 10. Juma...
1 Reactions
17 Replies
677 Views
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana? Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki. Kocha Mgunda pamoja na kukerwa...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point). Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika. Nilishangaa jana iliponunua Kocha mpya. Kanoute, Mzamiru, na wengine wengi hao wote ni Average player's. Viongozi kama hamna pesa za usajiri...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…