Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msemaji wa club moja kongwe akiponda usajili wa Saidoo,alibeza uwezo wa mchezaji huyo na kusema Simba hakuna walichosajili na mchezaji huyo akifikisha hata goli 5 tu huyo msemaji aitwe ashura ma...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama asemavyo Gentamycine, hataki unafiki, na mm Leo kwa kweli nmevumilia nmeshindwa, nimebana weeee KMKM wapate bao au angalau washinde lakn imeshindikana, Wamekufa dakika za mwisho, yaani...
11 Reactions
16 Replies
977 Views
Baada ya Yanga kumficha ndani mshambuliaji hatari Kambole kwa miezi 4 hatimaye leo ameachiwa kutoka nje. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Cameroon inahangaika kutafuta replacement wa under 17 baada ya Kipimo cha kupima umri kuwaondoa karibia timu nzima kwa kuonekana kwamba wamezidi umri. ===== More Cameroon U-17 players fail age...
1 Reactions
0 Replies
543 Views
Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Hali ni mbaya mbaya sana kwa ndugu ronaldo hali iliyopelekea kutia aibu ya mwaka wakati akitambulishwa na klabu yake mpya huko bara asia Alisikika akisema "Kuja hapa South Africa sio mwisho...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao. Sio timu tu kutoka...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kundi A: Azam, Malindi na Jamhuri. Kundi B: Yanga, Singida BS na KMKM. Kundi C: Simba, Mlandege na KVZ. Kundi D: Namungo, Aigle Noir na Chipkizi. kwahiyo hii mapinduzi cup wameona yanga ndo wa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiungo mkabaji kutoka Uganda amesaini tena miaka miwili kuwatumikia Yanga.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawashauri Wazee wa Yanga waandamane kumuona Rais Samia,hii sio sawa
20 Reactions
111 Replies
12K Views
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi . Nakushauri , usikubali kuwa...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Hizi ni aina za kupigana kila nchi utambulika kwa jina lake na mtindo wake wa kupigana. *Ukrain unaitwa:Combat hopak *Turkey unaitwa:Sayokan *Japan unaitwa:jujitsu,Judo,sumo ,kempo ,karate na...
0 Reactions
5 Replies
672 Views
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba Juma Mgunda atajiunga na Geita Gold kuanzia leo kama Kocha Mkuu! Hivyo mpango wa kumfanya Kocha Msaidizi umebuma!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye story ya jinsi kalusha bwalya alivyonusurika ajali ya ndege wenzake wote wakafa mje apa mtujuze maana wengine tulikuwa wadogo. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa: 1. Lionel Messi 2. Edson Pele 3...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu…. Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi. Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Cristiano Ronaldo 2. Franz Beckenbauer 3. Johan...
3 Reactions
93 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…