Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga.
Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi...
Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp
Uamuzi huo wa ghafla...
Kwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:
1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye...
Sipendi sana kuongelea timu lakini kuna wakati nalazimika kufanya hivyo.
1. Usajili wa Kisinda na Morrison
Ni kigezo gani viongozi wa yanga walikitumia kuwarudisha hawa mabwana wawili huku...
Bange / Bangi mbaya sana na hasa hasa ikitokea ukiwa Unaivuta halafu Kiasili huna Akili Kichwani.
Taratibu sasa nami GENTAMYCINE naanza Kuiamini ile Ripoti kuwa kwa sasa nchini Tanzania...
Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Watoto wa Jangwani au Wananchi, kwa muda wa miaka 24 sasa hawajafuzu kucheza hatua ya makundi michuano ya Klabu bingwa Afrika tangu ilipofuzu kwa mara ya...
Mtu hutoi hata mia mbovu halafu unakuja kumfokea Rais kuwa amekutukana, mnajua ni kiasi gani Injinia amejitolea kwa klabu hiyo? Mlisahau mlivyokuwa mnatembeza mabakuli mitaani? Je, mlisahau hilo...
Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.
Inauma sana kwa...
Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya...
"Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza...
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na...
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.
Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula...
Watu kama Ahmed Ally ambae ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC huja mara moja katika maisha (once in a life time).
Kutokana na uwezo mkubwa alionao Ahmed amekua akifanya kazi za...
Chini ya uongozi wa Eng Hersi sioni dalili ya Yanga ikifika hatua ya robo fainali iwe klabu bingwa wala shirikisho. Kuna tatizo kubwa sana kwanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji...
Wachambuzi wamechachamaa, wanapiga spana kila wakati. Hata wale wanaokupamba na kuopamba Yanga wamewageuka.
Machawa wako kimya, wamemwacha Afisa Habari analialia peke yake.
Sasa nakushauri fanya...
Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii...
Wakuu habari,
Ni mchambuzi yupi mahiri katika uga wa mchezoo wa mpira wa miguu hii battle inamuhusisha George Ambangile kutoka Wasafi FM na Ali kamwe kutoka Azam Média