Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii kauli hii ya wala mihogo watani zetu wameileta kama kejeli sisi tugeuze kuwa brand. Unajua kuna kauli zingine zinakuja na bahati yake, kama hii kauli ya wala mihogo naona ni kauli moja ya...
2 Reactions
1 Replies
760 Views
Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi...
13 Reactions
151 Replies
10K Views
Kwa soka la Bongo linavyo endeshwa kwa kelele za mashabiki huyo kocha baada ya hiyo game hatoboi nakwambia. Kule Tunisia lazima Yanga achezee kichapo tena kuanzia goli 3 na kuendelea, yaani...
1 Reactions
13 Replies
716 Views
Wataalam, Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na...
4 Reactions
8 Replies
924 Views
Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo. 1. Uongozi mpya Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa na...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga. Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka...
22 Reactions
77 Replies
4K Views
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya...
2 Reactions
64 Replies
4K Views
Yanga wako nje kwa dhamana katika mechi ya kimataifa, kombe la washindi. Hukumu itakua siku ya Mechi ya marudiano nchini Tunis. Hapa Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu Kali. Hawapindui meza...
11 Reactions
12 Replies
927 Views
Kesho Yanga watatupa karata yao dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kwangu hii ni mechi ngumu kuliko ile ya Al hilal. Yafuatayo ni mafungufu ambayo km kocha hajayafanyia kazi basi itakuwa ngumu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Namba 1 Diara Namba 2 djuma 3 kibwana 4 bacca 5 job 6 bangala 7 fei 8 zawadi 9 mayele 10 aucho 11 farid Mwisho kabisa nimeweka viungo wote hawa kwasababu ya kuzuia maana...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu. Twende kazi. Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa...
7 Reactions
130 Replies
8K Views
Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola. Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5...
3 Reactions
7 Replies
586 Views
Nyuma ya Mwarabu wa yanga anasimamia pesa za wanasiasa Watanzania maskini wanakosa huduma, wanasiasa wanachota pesa kwenda kutakatisha kwenye timu ya yanga ili kupitisha ajenda zao za kisiasa...
7 Reactions
13 Replies
813 Views
Hatimae Yanga imefanya kweli, imekubali kutoka sare kwenye Uwanja wa Mkapa na Klabu African ya Tunisia na kusababisha furaha na shangwe kubwa kwa wananchi, na kupelekea mgao wa maji na umeme...
2 Reactions
6 Replies
777 Views
1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho. 2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1. 3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo walichoonesha watu wa utopolo ndani ya dressing room kwa waarabu kama mbinu yao ya kuwadhoofisha kwenye mechi ya leo. Mashabiki wa Club Africain wameandika katika...
15 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii mechi unaanza kuichambulia wapi hasa kwa upande wa Yanga ? Maarifa hakuna , wapo slow sana , hakuna ubunifu , pasi zisizo na ufanisi , ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi na...
18 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna hali fulani hivi ya ushabiki naendelea kuiona si ya kawaida. Nadhani imesababishwa na kutazama mpira wa Ulaya. Watu wamejitolea kwa jasho na damu kupigania mpira kuliko hata maisha yao...
1 Reactions
13 Replies
734 Views
Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…