Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema...
1 Reactions
6 Replies
751 Views
FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia...
4 Reactions
469 Replies
21K Views
nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
15 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanabodi, sote tunajua ukizungumzia mpira wa Tanzania basi unazungumzia Simba na Yanga. Kwa miaka minne mfululizo timu ya Simba imefanikiwa kutawala soka la Tanzania kwa kubeba ubingwa mara...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au...
2 Reactions
4 Replies
750 Views
Nauliza tu ili nizidi kuwa mvumilivu kwa sababu CCM na Yanga wanafanana sana Kuanzia mavazi hadi Matokeo kwenye kushindania Jambo lolote
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba. Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions...
15 Reactions
74 Replies
5K Views
Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa wakale wake, Rafaela Pimenta amesema jeraha hilo litamfanya Pogba kukaa nje kwa wiki 3 akiungana na N'Golo Kante anayeuguza majeraha pia Daktari aliyemfanyia upasuaji amesema yeye...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku...
7 Reactions
8 Replies
745 Views
Pondamali anadai kumuuliza Sammata kwamba walikuwa wanafanyaje walipokuwa TP Mazembe hadi kuwapiga waaarabu nje ndani , ambako inadaiwa boss wa Mazembe alikuwa anawatuma mashushushu hadi nje ya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna wakat inabid ubadili uchezaji wako kwa manufaa yako Na declare interest mimi ni simba lunyasi dam dam ila na wish Uto waingie makundi(sio kwamba nawapenda hapana ila nataka waingie makundi...
2 Reactions
13 Replies
804 Views
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
18 Reactions
120 Replies
7K Views
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
2 Reactions
6 Replies
446 Views
Kila nikicheki kwenye ndarubini yangu naona yanga leo wakishinda zaidi ya goli moja Ila najiuliza sijui itakuwaje wakienda kule?
0 Reactions
10 Replies
658 Views
Nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi Nawaona Club Africain wakioga mvua ya magoli === Mchezo huu wa kwanza wa kutafuta mafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unafanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022. R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia waweze kuvuka. Wakivuka itakuwa vizuri sana kwasababu watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…