Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwanini? Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kombe la dunia 2022 nchini Qatar lipo njiani. Zikiwa zimebaki siku 47 tu kipenga cha kwanza kupulizwa wachezaji wenye timu zao zilizofuzu kushindania kombe hilo kuanza kupimana nguvu. Ni mtanange...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba kuuliza Amri Kiemba kahama Clouds au maana namuona Azam TV hapa?
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya watu 174 kufariki na 180 kujeruhiwa Nchini Indonesia, juzi Oktoba 2, 2022 matukio mengine ndani ya miaka 40 iliyopita ni: Cameroon watu 8, (2022), Misri watu 73 (Februari 2012), Ivory...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu. Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza...
2 Reactions
140 Replies
9K Views
Wakuu Habari zenu? Kwenye EPL swala la kutumia VAR kumekuwa na malalamiko mengi kuwa VAR inaonekana wengine inawapendelea na wengine inawahumiza, na kuna wengine wanapendelewa zaidi kutoka na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Leo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting. Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Mi nafikiri ingekuwa inawezekana TFF wangesajili waamuzi kutoka nje kama team za mpira zinavyo fanya. Tushuhudie burudani ya maamuzi ya kigeni hapa hapa bongo:D:D:D. We unaonaje?????
0 Reactions
1 Replies
474 Views
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Man U kila anapokula mkong'oto na Simba nayo lazima iumie. OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE Mpo?,au mmmelowaaaa......mmmelowaaaa.....mmenyeshewa na mvuaaaaa![emoji444]...
4 Reactions
6 Replies
791 Views
Earvin Johnson Jr maarufu kama Magic Johnson alizaliwa August 14, 1959, huko Lansing, Michigan, U.S. Alikuwa Mcheza Kikapu maarufu aliyeiongoza timu ya Los Angeles Lakers kushinda mataji matano ya...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka 2021 nilipost uzi fulani hapa kuwa kwa jinsi ninavyo ona Fiston Mayele wa Yanga na nyota yake kuna uwezekano mkubwa Fiston kuwa mchezaji maarufu na hatari zaidi Africa mzima. Watu walibisha...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi...
19 Reactions
255 Replies
16K Views
At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than: Ronaldo 🇧🇷 Michael Owen 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Francesco Totti 🇮🇹 Fernando Torres 🇪🇸 Nicolas Anelka 🇫🇷 Harry Kane 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 David Villa...
11 Reactions
28 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…