Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuelekea mchezo dhidi ya Al Hilal, timu ya Yanga wametangaza bei ya viingilio. Viingilio hivyo vimeainishwa kama ifuatavyo Kiingilio cha juu zaidi ni shilingi elfu 15 kwa VIP A 10000/= kwa VIP B&...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje? Kama ilikuwa public kwa nini wengine...
0 Reactions
4 Replies
798 Views
Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya...
16 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni nini watatutisha El Hilal ..."Kama ni uwekezaji yanga ndio nyumbani." Hayo nianeno ya msemaji bora kabisa wa yanga kuwahi kutokea. Mimi nauliza tu,uwekezaji kwenye nini anaozungumzia...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Wizara ya Michezo nchini Tanzania , kwamba Kaimu Mkurugenzi mpya wa idara ya michezo , Mh Ally Mayai , ametembelea ofisi ndogo ya kitengo chake Mjini DSM ...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo. Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo Mwamnyeto walihongwa na Karia ili Yanga ifungwe katika ile mechi. Habari zilivuja na kumfikia Haji, ikawa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Simba S.C tuache kuizungumzia Yanga S.C kwani kwa kufanya hivyo hatuwabomoi ila tunazidi kuwapaisha Kitendo cha kila mdau wa Simba kufungua nyuzi za kuiponda Yanga kila muda zinaonesha jinsi sisi...
5 Reactions
7 Replies
873 Views
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje? Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 30, 2022 ambapo Tanzania Prisons walikuwa wakipepeta na Azam FC kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya. Matokeo...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
ukweli mchungu!! Kwenye hizi timu za Kariakoo, hamna hata timu moja itaenda makundi ya CAF, labda kidogo shirikisho! Labda tena kwa mbinde, naiona timu moja tu tena haipewi nafasi sana ya kufuzu...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Wakuu Hali ni Tete Huko Umakoloni. Habari za Chinichini Ni Kwamba Mwamba Inonga anataka Mzigo wake Wa signing fee iliyobaki. Yuko Tayari asicheze Ila alipwe fedha yake na inasemekana wachezaji...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Itifaki imezingatiwa, wazee naomba kuuliza hivi mapromota wa ndondi/ngumi kama MOBOXING wananufaikaje na kuandaa mapambano? Asanteni
2 Reactions
5 Replies
504 Views
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu habari za mda huu. Ni ukweli usiopingika kuwa vipaji katika mpira huja na kupotea. Lakini kinachosikitisha ni watu wa zamani kupendelea ukale wao na kuamini kila aliecheza zamani alikuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshangaa mpaka vyombo vikubwa kama Azam kutangaza kuwa Ibra ameshinda kwa KO! Kwenye boxing pale Ibra kashinda kwa TKO! Kwenye mchezo wa ngumi kuna matokeo manne; 1. Kushinda kwa point 2. Sare...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Vip Leo mnaona tafuti au sawa nimeangalia moja la muindi nimelizika mo naona kajiandaa mabondia wako vizuri ngumi zinapigwa ================= Bondia Mtanzania Ibrahim Class amefanikiwa...
5 Reactions
109 Replies
8K Views
Aliekuwa nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi amethibitisha kutua club ya Al Zawra. Tayari ametambulishwa jijini Baghdad kukipiga ndani hiyo timu.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…