Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 π‡πˆπ‹π€π‹ KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua...
10 Reactions
167 Replies
7K Views
Wazungu wanaojua mpira hasa kufunga huwezi kuwaona hapa nchini. Tusidanganyane soka letu halina tofauti kubwa sana na la wazungu, ndio maana Al ahly walikuwa washindi wa 3 kwenye club za dunia Al...
3 Reactions
3 Replies
538 Views
Mweny kujua anijuze nijiandae
0 Reactions
6 Replies
643 Views
FULL INTERVIEW ya Ally Kamwe akiongelea matatizo yake na Haji Manara na mambo mengine ipo kwenye YOUTUBE ya Valor TV @valortv_ Nenda kamsikilize huko utapata meeengi mazuri ya kujifunza kuhusu...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga. Uzinduzi huo umefanyika leo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
UTEUZI WA YANGA JE WAPO SAHIHI> Nimetama uteuzi wa Yanga kwenye nafasi mbalimbali kuanzi C.E.O mpy mpaka DIGITL MANEGER je wamepatia wapi na wapi wameteza>
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC. Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2008-2016 Kwenye league yetu ya Kongo kulikuwa mtu ambaye alikuwa anaitwa sangabalende Huyu sangambalende alikuwa shabiki wa as vita kindakindaki saana Huyu bwana alikuwa sio msemaji wa timu...
1 Reactions
13 Replies
794 Views
"Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
1 Reactions
81 Replies
8K Views
Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika...
7 Reactions
3 Replies
988 Views
Anaandika Shaffi Dauda Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
27 September 2022 Benghazi, Libya Live Broadcast match Libya vs Tanzania FINAL SCORE LIBYA 2 - 1 TANZANIA Head Coach Honour Janza na kocha msaidizi Mecky Mexime Aishi Manula Abdallah...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyu ni pacha wa manara ,wasaliti waliokimbia Simba kwa kuhongwa bahasha za kaki
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kila mwaka msimu wa usajili timu mbalimbali husajili wachezaji ili kuimalisha vikosi vyao, bahati mbaya baadhi ya timu husajili wachezaji ambao wanakuwa na mchango mdogo kwenye timu zao hivyo kuwa...
1 Reactions
8 Replies
949 Views
Unaweza ukakubali kwamba, kweli TFF ni Simba damu damu. Haiingii akilini, kwa TFF kutoa adhabu kali kwa Morison nyakati kama hizi. Morison ni winga wa kutegemewa kwa Yanga. Na mtihani walionao...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Lazima ni declare interest kuwa mimi ni mwana Simba halisi. Lakini natoa pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa uteuzi wao wa Idara ya Habari kwa kuchagua vijana wasomi, wenye weledi na hekima. Uteuzi...
5 Reactions
6 Replies
938 Views
Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya...
15 Reactions
36 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…