Habari wakuu,
Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.
Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh...
Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki.
Imeripotiwa...
Klabu ya Coastal Union imemtambulisha mshambuliaji mpya raia wa Mali, Amara Bagayoko.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kama mchezaji huru mara ya mwisho akiichezea Asko Kara...
Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL |...
Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa...
Most valuable football clubs in Africa as of the 2023/2024 season, by market value
1)- El Ahly sc, Egypt 🇪🇬,30.5 million euros
2)- Mamelodi Sundowns, South Africa 🇿🇦 - 29.15 million euros...
Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia...
Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti
Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi...
Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho.
Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT...
Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba...
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza...
Nyota wa Ureno na Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametamka hadharani kwamba, Vinicius Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu. Ronaldo amezungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la #KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa...
Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo.
Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za...
Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia...
Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116]
"Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu.
Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni...
Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika.
Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue...