Habari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka...
Dodoma Jiji VS Yanga SC
| NBC Premier League
| Jamuhri Dodoma
| Disemba 25, 2024
Saa kumi jioni
Dakika 19, Mzize anawapatia goli Yanga
Dakika 29, Aziz Ki anatupia goli la pili.
Dakika 38...
Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal.
Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty...
Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza...
Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars.
Kibu alikosa michezo miwili...
Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira...
Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia Kamati yake ya Nidhamu, limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Shirikisho la soka la Guinea (FGF) kufuatia kushindwa kwao na Tanzania katika siku ya mwisho...
BREAKING 🔴
Uwanja wa Old Trafford Stadium 🏟️ unaotumiwa na klabu ya Manchester United uneshushwa hadhi rasmi kutoka Nyota 5 mpaka Nyota 2 mara baada ya kubainika Kuna mazalia ya panya wengi...
Singida sio siri wana wachezaji wa hatari kuliko hata Azam, ila kama Fahdu atanipangia hivi hawa wapuuzi wanakufa vizuri tu
Soma Pia: Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC...
Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.
Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo...
1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka.
2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele...
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa...
Kipindi timu zetu zikihangaika katika Mashindano ya CAF , kila mara zilikuwa zikitolewa hatua za awali, ni Simba ndo alofufua matumaini ya vilabu vyetu kushiriki makundi na kufanikiwa kutinga robo...
Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza
6' 0-0
14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo
18' 0-0
22' bado 0-0 mpira umebalance
30' 0-0
35' 0-0 man city...
Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya...
Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy
Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa...
Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza.
1. Dube
2. Chama
3. Aziz Ki
Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred...
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.
Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku...