Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
💥BYUTI BYUTI vs UNSTOPPABLE Direct Footbal vs Lunyas Phylosopy. ✍️Game approach and Mentality. Ni mchezo unaohitaji nidhamu ya hali ya juu na wachezaji wenye uwezo wa kuamua matokeo kwa timu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao. Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika...
2 Reactions
13 Replies
792 Views
Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!! Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga. Kocha anafanya...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Watu wengi wamemponda mshambuliaji wa Simba Dejan wakidai sio lolote, hawajui hata Pape Sakho walisema hivyo hivyo kuwa hana uwezo wa kucheza Simba, walisema Peter Banda hana uwezo, walisema...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA Na John Mapepele Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa. Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
rais Wales John Karis na katibu wake wanastahili kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi Kutokuomba ombi la kuruhusu caf mashabiki kuingia uwanjani mechi ya kimataifa yanga na river ya naigeria ni...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nadhani ni ushauri tu,ili tuinuke ki soka kuna umuhimu wa kila Wilaya nchini kuweka mikakati ya maksudi kuliendeleza soka letu nasi angalau tupande viwango vya Fifa siku zijazo Kwa kuanza Wilaya...
2 Reactions
7 Replies
687 Views
Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajamvi, mimi ni shabiki wa simba, naipenda simba. Lakini kwa yanayoendelea kwakweli nimevunjika moyo, nimeamua sinunui tena jezi wala sitapoteza pesa zangu kwenda tena uwanjani kwa msimu huu...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Sisi ni mashahidi tu acha tuitwe majina ya kila aina maana hata tukipiga kelele mazoezi ya Bunju yasiwe ya wazi tunaitwa washamba. Narudia tena hiyo october wakati simba anafumuliwa 4-0 na yanga...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku...
1 Reactions
3 Replies
530 Views
Tàrehe 13.08.2022 kuanzia majira ya saa 3 usiku Kwa saa za Afrika mashariki, baada ya Mechi ya Ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba, habari ya pili Kwa ukubwa baada ya habari ya matokeo ni...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Hakuna kipindi mtu anasema UKWELI kama kipindi ambacho amekasirika, yaani anaweza kutaja michepuko yote mbele ya MUME/MKE wake.Wanasimba tumevurugwa kweli kweli. Kipindi ambacho tuna hali hiyo...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja, Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa...
13 Reactions
160 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…